sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
kuna mtu kanambia amepata stroke baada ya move aliyoiandaa kuonekana kuwa ni fake na alitumia pesa nyingi sana kuiandaa
RIP Mwigulu just incase

sina hakika mkuu, ila nijuavyo mie ni kuwa kuna mwaliko wa kichama uliletwa toka kwa mtawala wa nchi hiyo. akitoka huko ataelekea sweden na mwisho atamalizia ufaransa. yote ni mialiko ya kimkakati zaidi.
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?
yupo busy anatengeneza video nyingine ya ugaidi na michuzi,si unajua ana ushahidi atautoa hata mbinguni?hahahahahaaa!!
mwigulu ndio msumari wenu wa moto
RIP Mwigulu just incase
mtabadili sana ID zenu mwaka huu chademaphobia inasumbua tena sana hadi mje mpone sijui.....hahahahahaaa!!!
mwigulu atatengeneza watoto wengi sana na nyie mwaka huu.
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?
tehe tehe tehee ehee, umevunja mbavu zangu.Ameenda kuficha sura yake, ...... maccm mengine ni hasara hata kukutana nayo njiani, hata msipoongea...kuliona tu,tayari linakuharibia siku!....
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?
ameanzia denmark afu akaenda china china? mpaka jana alikuwa china!mh mwigulu yupo denmark. amekwenda kimkakati zaidi