Mwigulu Nchemba yupo wapi?

Mwigulu Nchemba yupo wapi?

Status
Not open for further replies.
haya invisible yote heri kwa kutoa uzi wangu.
 
hoja za kimburula

Real Nchemba kajiaibisha na kawaaibisha maccm wenzake waliomwamini siku ile bungeni anatoka povu kuwa yuko tayar kutoa ushahidi bungen,mahakaman na hata mbinguni,sasa mbona hajaenda mahakamani kufanya hvyo? Je mbinguni ataweza? Wanamtesa baba wa watu lwakatare lupango bila kosa,yaani siku ya mwisho Mungu mtamtambua,maskin babu seya pia ndo waathirika wa chuki binafsi.Shame on u ccm.sitapigia kura ccm ni LAANA
 
Ni kweli aisee yuko wapi huyu jamaa????.......Hata Wassira sijamwona wala kumsikia toka mjengoni kwa siku kadhaa sasa!!...Likely wako "studio" somehwere wana-produce movie nyingine!.

Just look kule Bungeni, CCM huwa wana kamkakati ka kumtanguliza Mwigulu Nchemba bungeni ili ateme cheche (maana kwao utumbo wa huyu jamaa- mchumi first class, huwa ni ahueni ya CCM na Serikali) hasa katika kila wizara nyeti.......ajabu ni kuwa wizara kama ya barabara ambako ndiko wanakojisifia CCM huyu mshkaji hakuchangia hata kwa karatasi tu!!...I ALSO ASK,WHERE IS THIS GUY????

Lakini mimi naweza kidogo ku-guess sehemu mchumi wetu huyu daraja la kwanza alipo......ukiondoa studioni kwake kwa ku-rekodia movie za kigaidi.....ATKUWA AMEFICHWA AU HATAKIWI KUCHANGIA KWA LOLOTE BUNGENI kwa sbb wenye hekima na busara kidogo waliosalia katika CCM wameshabaini yeye ndiye chanzo za vurugu bungeni na kupelekea kushusha hadhi ya Bunge, Spika wao Mama Makinda na CCM yao kwa ujumla!!..

Binafsi,if my guess is right,then nawapongeza......wako right kabisa....huyu ni muua CCM!!
 
Real Nchemba kajiaibisha
na kawaaibisha maccm wenzake waliomwamini siku ile bungeni anatoka povu
kuwa yuko tayar kutoa ushahidi bungen,mahakaman na hata mbinguni,sasa
mbona hajaenda mahakamani kufanya hvyo? Je mbinguni ataweza? Wanamtesa
baba wa watu lwakatare lupango bila kosa,yaani siku ya mwisho Mungu
mtamtambua,maskin babu seya pia ndo waathirika wa chuki binafsi.Shame on
u ccm.sitapigia kura ccm ni LAANA

wewe acha tu kaka,watu wanateseka bila sababu?
 
Kitila Mkumbo kahamia jimboni kwake,presha ya 2015
 
1. Umesema kuna mambo mengi sana kuhusu kupotea kwa Mwigulu! Taja machache basi
2. Unadai wengine wamezusha mengi! Taja angalua machache waliyozusha.
3. Unataka aje afanye nini wakati hujaeleweka unataka nini?

mwigulu.. huyu hapa.......
 
Hata mjengoni hayupo.
Tulimkanya hapa akakataa sasa yu wapi.
 
kuna mtu kanambia amepata stroke baada ya move aliyoiandaa kuonekana kuwa ni fake na alitumia pesa nyingi sana kuiandaa
 
yaani ile movie aliyoitunga imemvua nguo
tena kariakoo...
kuchuchumaa hawezi
kugonoka hawezi
kusimama hawezi
kulala hawezi
kukaa hawezi

hata ningekuwa ni mm lazima ningesepa tu! Ili niue soo
 
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?

uploadfromtaptalk1368637295556.jpg
Yupo kutoa ushaidi mbinguni, maana duniani imeshindikana,umeonekana ni fake labda mbinguni utaonekana original.!!
 
Mleta mada unataka kumpa sumu ulliyotumwa na mkuu wako wa kazi nn?
 
Kaka namtaka aje hapa mwenyewe. Wakati anenda jeshini alituaga hvyo kwakuwa yeye ni member mwache aje mwenyewe hapa atuondolee hii sintofahamu,labda wanamzushia mengine ila la Lwakatare ni kweli alipanga mambo ya kishetani hivyo aje aombe radhi hapa jamvini.
Mkuu pole, tarehe 4 Mei, siku ya Jumamosi akiongozana na Waheshimiwa wabunge wengine amepaa kwenda Uchina. Hii ni taarifa ya uhakika isiyo na vikwazo. Niliwashuhudia kwa macho yangu mimi nikienda Ulaya siku hiyo hiyo na Emirati ya saa 10.55 jioni.
 
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?

Yuko bungeni anachapa kazi. itakuwa hana muda wa kuingia humu, Si unajua tena kule inahitaji utetezi wa nguvu
 
1. Umesema kuna mambo mengi sana kuhusu kupotea kwa Mwigulu! Taja machache basi
2. Unadai wengine wamezusha mengi! Taja angalua machache waliyozusha.
3. Unataka aje afanye nini wakati hujaeleweka unataka nini?

mwigulu huyu hapa.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom