atakuja akirudi. kwa sasa mwache awajibike katika masuala ya msingi na si majungu
mh mwigulu yupo denmark. amekwenda kimkakati zaidi
p......mb...vuuuu
Mwigulu ni Mtu hatari sana, ni bora akae kimya namna hiyo hiyo
Tusimwogope huyu jamaa ni mwepesi sana na tunaweza kummudu vizuri sana.
Inamaana na wewe uko tayari kushindana naye kwa kuongea upumbavu.
Hushaambiwa yupo china
ametumwa na tusker larger kuangalia mzigo akirudi atapitia israel
kuwaulizia ilikuaje hadi kamanda marando kagundua ile mtambo wa
kutengeneza namba feki za simu akitoka hatofikia JNIA (NYERERE AIRPORT)
bali atashukia nairobi then atachukua fast boat hadi ikulu si unajua
ikulu ipo karibu na bahari atawasilisha mapendekezo kwa fastjet then
atapewa escort hadi kijitonyama wanapokaa TISSCCM kesho yake ataita
press conference lumumba ndipo atakapoanza kuropoka.RIP CCM.
Yupo ana edit movie nyingine na mwenzie wa kudadadeki....(bob Lusinde)