Mh. Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania nakukaribisha Arusha.
Tunachokuomba saa ya kusikiliza kero za wananchi, watu wako ndio wapange utaratibu bila kuingiliwa na oote katika mkoa huu Ili haki itendeke uambiwe ukweli.
Mweshimiwa tunakusisitiza wasaidizi wako ndio wapange utaratibu na wahakikishe wananchi wanawasikilizwa wote na wale watakaoona wewe unatakiwa uwasikilize basi wapewe nafasi.
Mimi ni sauti ya wengi wale ambao hawana makoneksheni, hawajui vibosile wala wakubwa na hayo ni maombi yetu kwako mkuu.
NB: Kumbuka tunakutegemea, usituangushe mh. Waziri mkuu wetu.
Tusamehe sana mbunge wetu yupo nje kikazi huko pahii, frensi, kama angekuwepo hakika tungekuchomea nyama nyingi sana, tunaomba utuwie radhi.
Naomba ufikishe salamu zangu kwa mama mtumishi na umwambie aendelee kutuombea bila kuchoka .
Kwaresma Mubarak.
Karibu sana Arusha.