na kama yanaukweli hii serikali tuiondoe maana hii ni aibu magaidi yanaingia nchi bila jeshi letu kujua tukumbuke juzi ndege ya jeshi la nchi nyingine ilikuja hapa nchini bila kujulikana inamaana serilkali yetu ni legelege haifai tuungane watanzania tuiondoe...Haya maneno yanaweza kuwa na ukweli tusiyapuuze!!
Kuna watu wanaropoka maneno kabla hawajatathmini athali za maneno yao.......... Hao wote ni wale wale............. Hebu angali haya maneno.........Magazeti ya UHURU na Mwananchi leo tarehe 14/9/2011 ya mebeba tuhuma nzito zilizotolewa na mweka hazina wa CCM Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa moja ya jimbo mkoani Singida, kwamba CHADEMA wamepeleka vikundi vya kigaidi huko Igunga vikiwemo vikundi kutoka nje ya nchi.
Tuhuma hizo ni nzito na hazipaswi kupuuzwa. Je, Nchemba anataka kutuambia serikali na vyombo vya usalama ni butu kiasi hicho? Ameamua kuidharirisha serikali inayoongozwa na chama chake kwa nia ya kupata kuungwa mkono na wapiga kura wa Igunga?
Kama msomi alipaswa kujua athari ya kauri anazotoa ambazo kwa dhahiri zinaidharirisha serikali yake. Vinginevyo serikali itoe maelezo dhidi ya ugoigoi unaoelezwa na Nchemba dhidi yake.
Haiingii akilini chama cha siasa kiingize magaidi kutoka nje ya nchi wakae Igunga serikali isiwe na habari mpaka mweka hazina wa CCM atoe taarifa kwa vyombo vya habari.
Serikali hiyo inapaswa iondolewe madarakani kwa kushindwa kulinda usalama wa nchi.
Haya maneno yanaweza kuwa na ukweli tusiyapuuze!!
Magazeti ya UHURU na Mwananchi leo tarehe 14/9/2011 ya mebeba tuhuma nzito zilizotolewa na mweka hazina wa CCM Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa moja ya jimbo mkoani Singida, kwamba CHADEMA wamepeleka vikundi vya kigaidi huko Igunga vikiwemo vikundi kutoka nje ya nchi.
Tuhuma hizo ni nzito na hazipaswi kupuuzwa. Je, Nchemba anataka kutuambia serikali na vyombo vya usalama ni butu kiasi hicho? Ameamua kuidharirisha serikali inayoongozwa na chama chake kwa nia ya kupata kuungwa mkono na wapiga kura wa Igunga?
Kama msomi alipaswa kujua athari ya kauri anazotoa ambazo kwa dhahiri zinaidharirisha serikali yake. Vinginevyo serikali itoe maelezo dhidi ya ugoigoi unaoelezwa na Nchemba dhidi yake.
Haiingii akilini chama cha siasa kiingize magaidi kutoka nje ya nchi wakae Igunga serikali isiwe na habari mpaka mweka hazina wa CCM atoe taarifa kwa vyombo vya habari.
Serikali hiyo inapaswa iondolewe madarakani kwa kushindwa kulinda usalama wa nchi.
<br />Haya maneno yanaweza kuwa na ukweli tusiyapuuze!!
Kaka matusi tumeyazoea, umesahau hii " Hat mkila majani ndege ya rais lazima inunuliwe, mnataka rais wetu abebwe na punda?"Kuna watu wanaropoka maneno kabla hawajatathmini athali za maneno yao.......... Hao wote ni wale wale............. Hebu angali haya maneno.........
1. Wivu wa kike.............. Akaomba radhi ........na baadaye wivu wa kijinga
2. Vijisenti.......... akimaanisha bilioni.......... wakati wengine mlo wa dakika moja ijayo hana uhakika nao.................
3. Chama cha wachaga.................... Anasahau kuwa anahusisha ukabila kwenye siasa..................
4. Wanafikiri kwa makalio.................
5. Watanzania mna wivu wa kijinga kwa wawekezaji....................
6. .............etc...........etc
magazeti ya uhuru na mwananchi leo tarehe 14/9/2011 ya mebeba tuhuma nzito zilizotolewa na mweka hazina wa ccm mwigulu nchemba ambaye pia ni mbunge wa moja ya jimbo mkoani singida, kwamba chadema wamepeleka vikundi vya kigaidi huko igunga vikiwemo vikundi kutoka nje ya nchi.
Tuhuma hizo ni nzito na hazipaswi kupuuzwa. Je, nchemba anataka kutuambia serikali na vyombo vya usalama ni butu kiasi hicho? Ameamua kuidharirisha serikali inayoongozwa na chama chake kwa nia ya kupata kuungwa mkono na wapiga kura wa igunga?
Kama msomi alipaswa kujua athari ya kauri anazotoa ambazo kwa dhahiri zinaidharirisha serikali yake. Vinginevyo serikali itoe maelezo dhidi ya ugoigoi unaoelezwa na nchemba dhidi yake.
Haiingii akilini chama cha siasa kiingize magaidi kutoka nje ya nchi wakae igunga serikali isiwe na habari mpaka mweka hazina wa ccm atoe taarifa kwa vyombo vya habari.
Serikali hiyo inapaswa iondolewe madarakani kwa kushindwa kulinda usalama wa nchi.
Wewe unacheza na Interahamwe 800 si kitu kidogo ni jeshi kubwa tena liingie kwa mji mdogo kama Igunga lazima Jeshi letu litaarifiwe na Mwigulu atusaidie.Hawa watakuwa wamevukishiwa kupitia Arusha au moshi, itakuwa Lema ndio muhusika mkuu kwasababu anazijua vizuri njia za panya alizo kuwa akizitumia kwenye biashara ya wizi wa magari.
WanaCDM wamesha igeuza hii stori kuwa ni uzembe wa jeshi wakisahau tuhuma hiyo inawahusu wao kuleta majambazi nchini.