Mwigulu Nchemba na Tuhuma za Ugaidi wa CHADEMA

Magazeti ya UHURU na Mwananchi leo tarehe 14/9/2011 ya mebeba tuhuma nzito zilizotolewa na mweka hazina wa CCM Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa moja ya jimbo mkoani Singida, kwamba CHADEMA wamepeleka vikundi vya kigaidi huko Igunga vikiwemo vikundi kutoka nje ya nchi.

Tuhuma hizo ni nzito na hazipaswi kupuuzwa. Je, Nchemba anataka kutuambia serikali na vyombo vya usalama ni butu kiasi hicho? Ameamua kuidharirisha serikali inayoongozwa na chama chake kwa nia ya kupata kuungwa mkono na wapiga kura wa Igunga?

Kama msomi alipaswa kujua athari ya kauri anazotoa ambazo kwa dhahiri zinaidharirisha serikali yake. Vinginevyo serikali itoe maelezo dhidi ya ugoigoi unaoelezwa na Nchemba dhidi yake.

Haiingii akilini chama cha siasa kiingize magaidi kutoka nje ya nchi wakae Igunga serikali isiwe na habari mpaka mweka hazina wa CCM atoe taarifa kwa vyombo vya habari.

Serikali hiyo inapaswa iondolewe madarakani kwa kushindwa kulinda usalama wa nchi.
Huyu naye ni mpuuzi wa kupuuzwa..,ndo zile zile siasa uchwara...na kufikiri kwa kutumia Masaburi..!

I will never say NO and I will never say YES 100%. I believe there is no NOTHING and I believe also that EVERYTHING is SOMETHING. So what Nchemba has said is "SOMETHING". But what kind of "SOMETHING?". Nchemba is known as CCM Cadre no one can deny this. But we should ask ourselves as JamiiForum members, why this statement and why at this time of the day.

Sometimes we must think what kind of man are we dealing with. But where is the government if what he is saying is true? And if it is true where was the government? Was it in vacation? Then if that is proved clearly without doubt then the government should step down and CHADEMA should be sued.

My position on this: Chadema as a party which is so hot must be feared by CCM that is what I can comment. But why so big scandal from such a young man? If its proved Chadema has not done that, the guy should be sued and where necessary he must be excommunicated from the political system because he is dangerous even to our nation's future peace and security.

Magazeti ya UHURU na Mwananchi leo tarehe 14/9/2011 ya mebeba tuhuma nzito zilizotolewa na mweka hazina wa CCM Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa moja ya jimbo mkoani Singida, kwamba CHADEMA wamepeleka vikundi vya kigaidi huko Igunga vikiwemo vikundi kutoka nje ya nchi.

Tuhuma hizo ni nzito na hazipaswi kupuuzwa. Je, Nchemba anataka kutuambia serikali na vyombo vya usalama ni butu kiasi hicho? Ameamua kuidharirisha serikali inayoongozwa na chama chake kwa nia ya kupata kuungwa mkono na wapiga kura wa Igunga?

Kama msomi alipaswa kujua athari ya kauri anazotoa ambazo kwa dhahiri zinaidharirisha serikali yake. Vinginevyo serikali itoe maelezo dhidi ya ugoigoi unaoelezwa na Nchemba dhidi yake.

Haiingii akilini chama cha siasa kiingize magaidi kutoka nje ya nchi wakae Igunga serikali isiwe na habari mpaka mweka hazina wa CCM atoe taarifa kwa vyombo vya habari.

Serikali hiyo inapaswa iondolewe madarakani kwa kushindwa kulinda usalama wa nchi.

siku zote "mfa maji haachi kutapatapa"ccm wanebanwa na me nnaona watumie mbinu nyingine kushinda uchaguzi lkn sio hii.Kwani mwanzo si waliikituhumu Chadema kuhusu Yule kijana aliemwagiwa tindi Kali!!?

Katika sheria ya ushahidi kuna kitu inaitwa Previous Conducts inaweza ikatusaidi hapa kujua nani amehusika na ndindikali thing. Kuna tukio la kisiasa ambalo linahusishwa na watu wa chama flani ambao walimwagia tindikali Kubenea. Sasa kuna tukio la tindikali ambalo linahusisha chama flani cha kisiasa. Naelekea kuamini kwamba mbwa wa Marekani habweki tofauti na yule wa Igunga. Kama walitumia tindikali kwanini washindwe leo?

CCM nawaambieni siasa nyepesi haziwajengi ila zinawabomoa. wananchi wa kawaida wanavyosikia kauli kama hizi wanashindwa kuwatofautisha na vyama kama dp,nra nk hivyo wanawapuuza. siasa hizo zimepitwa na wakati

Mie nafurahi kuona kuwa Kwa kauli zinazotolewa Na mwigulu ni Mtani WA chadema kuchukua jimbo

Zamani tulikuwa tunasema UJINGA MARADHI na UMASKINI ni maadui lakini hii kwasasa vitu hivyo vitatu ni marafiki tena marafiki wakubwa wa CCM kwa maana wanatumia nguo na chakula kuwahoga MASKINI na wanawahadaa Wananchi kama huyo Mwigulu kwa sababu ya kukosa elimu UJINGA wanapita na kugawa vyandarua nyakati za kampeni kwasababu ya MARADHI. kwa matazamo wangu hakuna mtu mwenye kushabikia CCM kwa sasa ni lazima umeathirika na kimoja hapo juu.unaweza ukawa MJINGA au UNA MARADHI ya akili au kimwili na lililokubwa au ni maskini wa mwili na akili

Watanzania tusishabikie ujinga MWIGULU hawa ndio watakaofuguliwa mashitaka mwaka 2016 the Hague kama ilivyo Kenya kwa maneno yake hatarishi kama kweli CDM imeingiza watu atoe taarifa polisi na hao watu wakamatwe na wahojiwe? Huyu MWIGULU alisema kuwa CDM wamemwagia mtu tindikali kama alikuwepo vile si akatoe taarifa polisi. KWASASA nadhani bila watu kama MWIGULU neneo KUROPOKA litafutwa kwenye msahafu.huyu MWIGULU ana ropoka ropoka aoengee vitu na ushahidi wa kutosha.

Mimi najiuliza walipo Polisi, usalama wa taifa na dpp! Juzi msemakweli katueleza wamiliki wa kagoda, kesho yake akakamatwa na kuhojiwa.
Mbona huyu mweka hazina wa ccm hakamatwi? Wanasubiri nini!? Wanafanya kazi gani kama kazi walizoajiriwa kufanya na kulipwa kodi zetu hatazifanyi! Au wanasubiri maandamano ya wananchi ndio watekeleze utatu wao.
Usalama wa taifa - taarifa za kiintelijensia.
Polisi - kupiga mabomu.
Dpp - kuwashtaki mahakamani

gazeti la mwananchi tarehe 13.09.2011, limeriport kwa head "chadema chaigeuzia kibao ccm". Content yake inadai kuwa chadema wanaituhumu ccm kwa ".......kuandaa kambi za vijana mahususi kwa ajili ya kufanya vitendo vya kijasusi ikiwemo kuwamwagia tindikali wafuasi wa vyama vingine".

Pia chadema wanadai kuwa, ".....ccm wamekodisha kikundi cha vijana 20 wa kutoka tarime mara ili kuwakata mapanga......."

nashindwa niamini lipi na nisiamini lipi.

Kweli human being are political animals............

Mkuu usichanganyikiwe bure. Tuliambiwa ccm wametenga 50mil kuhakikisha wanatumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwasapoti ili washinde uchaguzi wa Igunga. Kwahiyo wapo kazini

Haya maneno yanaweza kuwa na ukweli tusiyapuuze!!
Bwana ritz hata mimi nakuunga mkono kwa serikali hii legelege yote yawezekana ndio maana yabidi itoke madarakani japo ukifikishwa hapo hutaki kusikia...

Haya maneno yanaweza kuwa na ukweli tusiyapuuze!!

kwahiyo intelijensia ya serikali haifanyi kazi ila ya CCM(chama) na Magaidi wanatafutwa dunia nzima kwanini tusijipatie ujiko kwa kuwakamata hao magaidi na wanatoka kikundi gani Al Qaeda, Al Shabab, au Taleban. Huyu Mchemba lazima athibitishe au apelekwe mahakamani

Mwigulu Nchemba akili zake zinamtosha yeye mwenyewe.So kujadili kauli zake naona ni kupoteza muda .Ni mtu wa kukurupuka kama alivyokuwa mzee Yusuph Makamba.Ila mwisho wa watu kama hawa ni mbaya sana kwa sababu jamii ya sasa sio ile ya miaka ama zama za chama kimoja.Nawasilisha

angalia video hii. utajuwa yupi ni Simba na yupi ni Fisi Kambi ya mafunzo ya ugaidi Igunga - YouTube Nawasilisha wakulu

Mnapo tafuta njia za kuhalalisha uhuni wenu ndio manfikiria kitoto hivi, sijui kama CDM inajifunza maana wakati wa propaganda za kijinga kama hii video umepita. Kambi za vijana wa CCM zinakuwa na vijana zaidi ya 300 na wote wanajulikana kwa kuwa hizi si kambi za siri. Kama CCM inataka kuandaa magaidi haiwezi kuingia gharama wakati yenyewe tayari inashikiria serikali na jeshi lenye kiapo cha utii kwa amiri jeshi mkuu ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM. CCM yenyewe ndio inashikilia dola na vyombo vyake vyote na ninyi wote mnajua, sijui mtaendelea hadi lini kula hela zetu za ruzuku huku mkijifanya hamtaki kukuwa.

And yet kuna mtu alianzisha thread special humu eti ya kumuonyesha ni namna gani huyo Mwigulu alivyokuwa smart!!!!!!!!!!! The guy is just lost totally lost in the middle of nowhere. Kila siku wanasema ooh wapinzani hawana sera sasa kumbe CCM hizo ndiyo sera zao!

Back
Top Bottom