Mwigulu Nchemba na skafu shingoni,

Mwigulu Nchemba na skafu shingoni,

Kuna mzee mmoja kijijini kwetu alikuwa anatembea na bonge begi au fuko kanisani hadi misibani hata kwenye sherehe hadi kufikia kubatizwa jina la KIFUKO. Naona Chemba nae anaelekea huko
 
Ushamba tu unamsumbua. Huyo hata kuwe na joto la kufa mtu yeye utaona kajiviringisha skafu. Hana uzalendo wowote ni unafiki tu. Toka lini mzalendo akafadhili ugaidi na kuwabambikia watu kesi. Huyo ni Savimbi wa kuogopwa kama ukoma!
 
Hv mwigulu Nchemba kitendo cha kuvaa skafu hadi makanisani nini manake,nimeanza patwa mashaka hakika pengne ni hirizi yake,mana haiwezekani kila uendako unako,ndio mlinzi wako,Mungu amesema Bwana asema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake,kila mahali umelivaa tu,si kanisani,msaidien huyu kijana,

Ukiona unapendwa sana kuliko watu wote ujue unayo matatizo makubwa kuliko watu wote. Hakuna ntu anayechukiwa kuliko watu wote ujue kwa sababu hata Hitla na ukatili wake wote kuna watu walimpenda ungedhani hawana akili na wapo hata leo duniani kote. Mwigulu ni mzuri sana kwa sababu hana store ya mambo aliyonayo moyoni, anafunguka mambo yote pasipo kubagua ya kijinga, ya kipumbavu au ya busara. Kwake yeye bungeni kwa kuwa kuna kinga ya waropokaji anapatumia kama fulsa ya kipekee vizuri sana. Kwa kufanya hivyo wapinzani wake wako salama zaidi maana anaropoka hata mikakati yake ya kuwamaliza na kuwafanya wajitayarishe mapema kwa mapambano dhidi yao. Kwa kuwa chama chake kimempa nafasi kubwa kama silaha bora ya kuwamaliza wapinzani, ccm nayo inayo kanzi kubwa kudhibiti maangamizi hata ndani ya chama chenyewe kwa kuwa majanga ya bwana huyu hayachagui ccm wala cdm bali inategemeana mizimu yake imeamkia kushoto au kulia. Nadhani anaaminiwa na mwenza wake tu kwa kuwa kuna viapo katika mema na mabaya, matamu na machungu. Ukitaka upandishe pressure wewe yachukulie maropoko ya Nchemba kwa uzito mkubwa.
 
Unaimani za kishirikina wewe.

kamuulize mwenzio skafu mpaka chooni,kama sio mambo flan ya kiganga ganga ni nini manake,sasahv pia anavaa kofia yenye nyota nyekundu.yenye maana ya kishetani.ila udhalimu una mwisho na mwisho wake mbaya sana,
 
Ukiona unapendwa sana kuliko watu wote ujue unayo matatizo makubwa kuliko watu wote. Hakuna ntu anayechukiwa kuliko watu wote ujue kwa sababu hata Hitla na ukatili wake wote kuna watu walimpenda ungedhani hawana akili na wapo hata leo duniani kote. Mwigulu ni mzuri sana kwa sababu hana store ya mambo aliyonayo moyoni, anafunguka mambo yote pasipo kubagua ya kijinga, ya kipumbavu au ya busara. Kwake yeye bungeni kwa kuwa kuna kinga ya waropokaji anapatumia kama fulsa ya kipekee vizuri sana. Kwa kufanya hivyo wapinzani wake wako salama zaidi maana anaropoka hata mikakati yake ya kuwamaliza na kuwafanya wajitayarishe mapema kwa mapambano dhidi yao. Kwa kuwa chama chake kimempa nafasi kubwa kama silaha bora ya kuwamaliza wapinzani, ccm nayo inayo kanzi kubwa kudhibiti maangamizi hata ndani ya chama chenyewe kwa kuwa majanga ya bwana huyu hayachagui ccm wala cdm bali inategemeana mizimu yake imeamkia kushoto au kulia. Nadhani anaaminiwa na mwenza wake tu kwa kuwa kuna viapo katika mema na mabaya, matamu na machungu. Ukitaka upandishe pressure wewe yachukulie maropoko ya Nchemba kwa uzito mkubwa.

kaka hapo umenena,tunaomba wanairamba mturudishie hii kitu,maana ndo chocho la wapinzani.
 
Hv mwigulu Nchemba kitendo cha kuvaa skafu hadi makanisani nini manake,nimeanza patwa mashaka hakika pengne ni hirizi yake,mana haiwezekani kila uendako unako,ndio mlinzi wako,Mungu amesema Bwana asema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake,kila mahali umelivaa tu,si kanisani,msaidien huyu kijana,

Mhe. Mwigulu Nchemba kwa mtazamo wangu anatatizwa na kitu kimoja. Anakosa internal powers walizonazo watu wenye vipaji vya uongozi. Kuna msemo mmoja unasema hivi, power ya mtu hailetwi na cheo, madaraka au pesa alizonazo bali hutoka ndani yake. Kuna watu kwenye jamii zetu sio viongozi kama Mhe. Nchemba lkn wanaheshimika na kukubalika mno miongoni mwa jamii zinazowazunguka. Mhe. Nchemba anajaribu kufanya vitu kama kuvaa snafu na kapelo za kichina ili kujipa identity lkn kwa bahati mbaya haya yote anayo jaribu kufanya sioni kwa mtazamo wangu na jinsi mtaani watu wanavyo mzungumzia inakuwa tofauti. Hata hivyo yeye bado ni kijana, anatakiwa kubadilisha style ya siasa zake na kuwa za kiungwana zaidi kuliko ilivyo sasa. Kwani haonekani kama ni kiongozi mpenda demokrasia ya kweli na mtu anayeweza kuunganisha makundi yanayotofautiana kimawazo.
 
Kwanza niombe radhi watanzania wenzangu kwa kufananisha rangi za taifa letu na dekio, hii ni kwa sababu anayezivaa hana hadhi ya kuvaa bendera ya taifa. Hivi ukikutana watu wanne mmoja kavaa kijani, wa pili nyeusi, wa tatu njano na nne bluu wakiwa pamoja utasema nimekutana na watu wamevaa bendera ya taifa? Kwa matendo ya Mwigulu siyo wa kuvaa bendera ya taifa shingoni. Ukinzia Igunga, Arumeru, Ndago Singida na lile ambalo sitamsamehe la kufunga mbwa bendera ya Chadema. Hivi kweli mtu anayejua maana ya bendera anaweza kumfunga mbwa bendera ya taasisi hata kama huipendi kiasi gani? Katika kukamilisha roho yake mbaya alihojiwa na gazeti fulani akasema anamchukia shetani na Dr Slaa. Hivi binadamu anayejifanya mzalendo anaweza kumfananisha mtanzania mwenzake na shetani? Embu vua dekio hilo we si mfano wa kuigwa na watoto wetu! Mtu anayefunga bendera ya taifa lazima awe mfano wa kuigwa. Na nitapendekeza chama changu kikichukua nchi tubadilishe bendera liyonajisiwa na Mwigulu.
 
mi nayachukia sana magwanda ya chadema. yamekaa kivurugu vurugu tu, hivi watu wanayovaa haya magwanda wana akili timamu kweli?
wanaovaa haya magwanda ya chadema ni machizi na wavuta bange
 
Umeangalia Chadema kama taasisi,
Hujaona udhaifu wao zaidi ya kutopendezwa na rangi za mavazi yao!
Hivi nikisema wewe ni kilaza utabisha?
 
Kwanza niombe radhi watanzania wenzangu kwa kufananisha rangi za taifa letu na dekio, hii ni kwa sababu anayezivaa hana hadhi ya kuvaa bendera ya taifa. Hivi ukikutana watu wanne mmoja kavaa kijani, wa pili nyeusi, wa tatu njano na nne bluu wakiwa pamoja utasema nimekutana na watu wamevaa bendera ya taifa? Kwa matendo ya Mwigulu siyo wa kuvaa bendera ya taifa shingoni. Ukinzia Igunga, Arumeru, Ndago Singida na lile ambalo sitamsamehe la kufunga mbwa bendera ya Chadema. Hivi kweli mtu anayejua maana ya bendera anaweza kumfunga mbwa bendera ya taasisi hata kama huipendi kiasi gani? Katika kukamilisha roho yake mbaya alihojiwa na gazeti fulani akasema anamchukia shetani na Dr Slaa. Hivi binadamu anayejifanya mzalendo anaweza kumfananisha mtanzania mwenzake na shetani? Embu vua dekio hilo we si mfano wa kuigwa na watoto wetu! Mtu anayefunga bendera ya taifa lazima awe mfano wa kuigwa. Na nitapendekeza chama changu kikichukua nchi tubadilishe bendera liyonajisiwa na Mwigulu.

Tayari gongo zishaanza kukuchanganya. Punguani ww kitamba chenye rangi ya taifa unaita dekio? Mgegedwaji wewe. Puumbaaavu
 
Kwanza niombe radhi watanzania wenzangu kwa kufananisha rangi za taifa letu na dekio, hii ni kwa sababu anayezivaa hana hadhi ya kuvaa bendera ya taifa. Hivi ukikutana watu wanne mmoja kavaa kijani, wa pili nyeusi, wa tatu njano na nne bluu wakiwa pamoja utasema nimekutana na watu wamevaa bendera ya taifa? Kwa matendo ya Mwigulu siyo wa kuvaa bendera ya taifa shingoni. Ukinzia Igunga, Arumeru, Ndago Singida na lile ambalo sitamsamehe la kufunga mbwa bendera ya Chadema. Hivi kweli mtu anayejua maana ya bendera anaweza kumfunga mbwa bendera ya taasisi hata kama huipendi kiasi gani? Katika kukamilisha roho yake mbaya alihojiwa na gazeti fulani akasema anamchukia shetani na Dr Slaa. Hivi binadamu anayejifanya mzalendo anaweza kumfananisha mtanzania mwenzake na shetani? Embu vua dekio hilo we si mfano wa kuigwa na watoto wetu! Mtu anayefunga bendera ya taifa lazima awe mfano wa kuigwa. Na nitapendekeza chama changu kikichukua nchi tubadilishe bendera liyonajisiwa na Mwigulu.

Kweli bwana jamaa anakera kama kinye...i, yaani matendo yake na bendera ya taifa shingoni mwake ni dhihaka kubwa kwa watu walistaarabika, naona Bora angevaa shingoni bendera ya CCM watu tusingekerekwa ki vile,

Angalia sasa hivi kule Kalenga lazima litatokea jambo linalomhusu na watawala hawatamfanya chochote, cha muhimu walioko kalenga wawe makini nae kwa kila movement anazozifanya ili wawe na ushahidi pindi itakapotakiwa kutumika,

Huyu jamaa na mie sitokaa nimsamehe fikiria jinsi Lwakatare alivyosota Gerezani kwa fikra na matendo maovu ya huyu jamaa kuwabambikia kesi watu, angalia wale vijana wa kesi ya ugaidi kule Igunga iliyomhusu jamaa yake wa Tindikali aliyekuwa akizunguka naye kwenye mikutano ya CCM

Mwigulu hafai hata kulumangia Daga
 
Back
Top Bottom