Mwigulu Nchemba na skafu shingoni,

Mwigulu Nchemba na skafu shingoni,

Nipo tayari kutoa ushahidi hata mbinguni "mwiguluneti mchembe"
 
kamuulize mwenzio skafu mpaka chooni,kama sio mambo flan ya kiganga ganga ni nini manake,sasahv pia anavaa kofia yenye nyota nyekundu.yenye maana ya kishetani.ila udhalimu una mwisho na mwisho wake mbaya sana,

Nadhani hiyo ni life style yake alio jichagulia na hiyo skafu yake mkuu,na sidhani kama kuna tatizo ikiwa haimdhuru mtu
 
Mhe. Mwigulu Nchemba kwa mtazamo wangu anatatizwa na kitu kimoja. Anakosa internal powers walizonazo watu wenye vipaji vya uongozi. Kuna msemo mmoja unasema hivi, power ya mtu hailetwi na cheo, madaraka au pesa alizonazo bali hutoka ndani yake. Kuna watu kwenye jamii zetu sio viongozi kama Mhe. Nchemba lkn wanaheshimika na kukubalika mno miongoni mwa jamii zinazowazunguka. Mhe. Nchemba anajaribu kufanya vitu kama kuvaa snafu na kapelo za kichina ili kujipa identity lkn kwa bahati mbaya haya yote anayo jaribu kufanya sioni kwa mtazamo wangu na jinsi mtaani watu wanavyo mzungumzia inakuwa tofauti. Hata hivyo yeye bado ni kijana, anatakiwa kubadilisha style ya siasa zake na kuwa za kiungwana zaidi kuliko ilivyo sasa. Kwani haonekani kama ni kiongozi mpenda demokrasia ya kweli na mtu anayeweza kuunganisha makundi yanayotofautiana kimawazo.

Umenena vyema mkuu,binafsi namkubali ila nashindwa kuielewa misimamo yake
 
Mwigulu mla watu.hatutasahau alivyotupiga bomu arusha...mwigulu n zaidi ya gaidi..
 
Angekuwa hatokei Singinda ningechangia,endeleeni nyie msiowafahamu hao watu.
 
Jina lenyewe la mganga wa kienyeji. Sasa unategemea nini?
 
Back
Top Bottom