Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

Teh teh,mlipuaji bhana! Amempiga dongo mbowe kuhusiana na mgogoro wake na mwigamba!
 
Ili apate pa kunyofolea pesa za serikali au? kama bodi haina pesa za kutosha kuwapa mikopo na hizo pesa zinatoka serikalini huo mfuko utatoa wapi hizo fedha?? kukiwa na mfuko huo na bodi kazi yake itakuwa nini?? ......Za kuambiwa...changanya na za mbayuwayu. I stand to be corrected but I think his Idea does not work to solve problems at all.

Ugonjwa wake ni CHADEMA. He lives in "mipasho". Tatizo la elimu ya juu ni zaidi ya pesa ya mikopo. Ni suala la kimfumo.
 
Mzaha mzaha hutunga usaha, katika watu hatari katika inchi hii Mwigulu ni namba 1 hata mchawi hulia sana kilioni ili kuwazuga wafiwa ila huyu jamaa ni zaidi ya hatari n dikteta mbaya zaid ya hitra, savimbi, idd amin ila ipo siku mkishtuka mtakuwa mmechelewa.
 
Huyu jamaa kweli ni B...gs,anasema huko misri wapinzani walianzisha maandamano wakayaita m4c,hawa wanaopinga huu muswada wana biashara yao ya magazeti,wana majumba dubai,wana paspot 2/2, wanataka kuleta machafuko halafu wao wakimbilie nje, 'mimi mama yangu hata kiswahilg hajui,atakimbilia wapi?' shame on him.
 
Kama kuna watu watasababisha vita Mwigulu yumo. Hivi inawezekaje kusema hayo bungeni.
 
-------- haelimishwi maana hata ukimwelimisha ni bule. Mi ccm janga sana HIV nyuma.
 
Mfuko wa Fedha kwaajili ya Elimu ya juu ni jambo la msingi kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora bila usumbufu.
Wanafunzi wanakosa mikopo kwasababu ya ukosefu wa fedha,Mfuko huu utasaidia sana.
Ikumbukwe Mbunge huyu mwaka jana alitoa hoja binafsi ya kuanzishwa mfuko kwaajili ya elimu ya juu.

KUHUSU MAGAZETI.
Habari nzuri si habari,ila habari mbaya ndio biashara.Ni lazima tuweke sheria itakayobana hii tabia ya watu kuuza sana taarifa mbaya wakati kunataarifa nzuri nyingi za taifa lake hawazungumziii;
Lazima tukubari kuwa taarifa mbaya ni hatari kwa taifa n.k Sioni shida kwa upinzani kuona taarifa mbaya ni mtaji kwao kwasababu hawana dhamana na hawana uzalendo na taifa hili."adui yetu mkubwa ni yule aliyeadui wa Taifa letu.

Kuna wabunge hapa wanavyombo vya habari magazeti n.k,Kuuza taarifa.Kuna watu wanapaspoti mbilimbili ndani ya vyama vyao hapa wanamajumba nje ya nchi.Wapo tayari kuvuruga amani ya nchi na kukimbilia DUbai kwenye majumba yao..
Wanamiliki vyombo vya habari kwaajili ya kuchafua utulivu wa nchi,Niwachcochezi sana na wanatekeleza asima yao kuwa nchi hii haitatawalika.
Kikisha nuka hapa wao wanajua wanamiliki nyumba nyingi nje ya nchi watakimbilia huko.
Misri na nchi nyingine zimepoteza amani kwasababu ya vyombo vya habari ambayo vilikuwa vinachochea mambo ya uongo ndani ya nchi yao.Leo hii wapo wapi?

Lazima sheria ziwe kali sana .kuna Viongozi wa vyama hapa wamezoea kuongoza kwa mabavu sana,Wanaruka vichwa na kuchapa viongozi wao wa ndani ya chama,Yaani kikwete aruke kichwa kumpiga mwenyekiti wa MKOA WA DSM wa chama cha mapinduzi?Kweli huu ndio uongozi?
Yaani sheria lazima ziwe kali sana,Watu wanapenda kulaumu kuwa mambo yapo ovyo wakati hawataki sheria ziwe kali juu yao na juu ya Utaifa wetu.
naomba sheri ya Magazeti iendee juu zaidi iwe kali zaidi.Kwani watu wananufaika na sheria hii kuwa butu
Mwambie 2015 siyo mbali msukuma mnyiramba huyo atavuna alichopanda...
 
....Laana ya mungu inakusumbua wewe gaidi mwigulu AKA Taswira...kuchukua roho za watu wasio na hatia yoyote si kitu kidogo.
 
Hana jipya huyo savimbi anaweweseka tu!! Na hao walioficha pesa uswisi? Kama kuna gazeti chochezi basi ni Uhuru,Mzalendo et al! Kuhusu mambo ya ndani ya CDM hayamhusu kabisa na wasaliti wote lazima waondolewe ndani ya chama warudi magambani
Umesema kweli tupu,miongoni mwa vyombo vya habari vinavyoandika uchochezi wa hatari,ni hivyo vyombo vya habari vya habari vya chama tawala,lakini waziri wa habari badala ya kuvifungia vyombo hivyo,yeye anafungia magazeti yanayosema kweli bila woga kana vile magazeti ya mwanahalisi na mwananchi.

Vile vile miongoni mwa watu hapa TZ ambaye kauli zake zinaweza kuleta machafuko hapa nchini,basi anayeongoza kwenye list hiyo,anayeongoza atakuwa Mwigulu Nchemba.

Si mnakumbuka wakati ule pale bungeni alipotanba kuwa anao ushahidi wa kutosha kuwa ambao atautoa hapa duniani na hata mbinguni kuwa viongozi wa CDM wanajihusisha na ugaidi,wakati ndani ya moyo wake akijua fika kuwa kesi hizo za ugaidi ni za kubambika, zikiwa masterminded na yeye mwenyewe akishirikiana na wanamagamba wenzie.

Kwa bahati nzuri, Mwenyezi Mungu akamuumbua vikali hapa hapa duniani,baada ya mahakama kuzitupilia mbali kesi zote hizo za ugaidi,kwa maana hiyo mahali pekee palipobaki ambako anaweza akaenda kutoa huo ushahidi wake wa kipuuzi ni kwa partner wake shetani!!
 
Mnamdhambulia Mwigulu wakati ni ukweli kuwa kuna wabunge wanamiliki magazeti na pia wana Nyumba Dubai na pia wana sera ya nchi kutokutawalika. Na kupiga vichwa watu wanaowaongoza.

Ni kipi hapo si ukweli? Au kwa kuwa kinamgusa Eikaeli Mbowe?
 
Ile hotuba imewaumiza sana,jamaa alianza taartibu taartibu then mwishoni akaanza kuwapa za chembe.
 
Mwigulu ni mtu hatari sana hata Mungu anamwogopa.
 
Kama MWIGULU angekuwa mpinzani halafu anaongea maneno ya namna iyo SERIKALI INGESHAMTOBOA MACHO,KUCHA KTK MISITU YA MABWEPANDE! huyu bwana haziko sawasawa.
 
Mimi nauliza mbona habari za mwigulu hapa jf hata za chumbani huwa zinaletwa na TASWIRA NA MOHAMED MWAUPETE?
je ana waandishi binafsi?
je ni majina bandia?
 
Mfuko wa Fedha kwaajili ya Elimu ya juu ni jambo la msingi kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora bila usumbufu.
Wanafunzi wanakosa mikopo kwasababu ya ukosefu wa fedha,Mfuko huu utasaidia sana.
Ikumbukwe Mbunge huyu mwaka jana alitoa hoja binafsi ya kuanzishwa mfuko kwaajili ya elimu ya juu.

KUHUSU MAGAZETI.
Habari nzuri si habari,ila habari mbaya ndio biashara.Ni lazima tuweke sheria itakayobana hii tabia ya watu kuuza sana taarifa mbaya wakati kunataarifa nzuri nyingi za taifa lake hawazungumziii;
Lazima tukubari kuwa taarifa mbaya ni hatari kwa taifa n.k Sioni shida kwa upinzani kuona taarifa mbaya ni mtaji kwao kwasababu hawana dhamana na hawana uzalendo na taifa hili."adui yetu mkubwa ni yule aliyeadui wa Taifa letu.

Kuna wabunge hapa wanavyombo vya habari magazeti n.k,Kuuza taarifa.Kuna watu wanapaspoti mbilimbili ndani ya vyama vyao hapa wanamajumba nje ya nchi.Wapo tayari kuvuruga amani ya nchi na kukimbilia DUbai kwenye majumba yao..
Wanamiliki vyombo vya habari kwaajili ya kuchafua utulivu wa nchi,Niwachcochezi sana na wanatekeleza asima yao kuwa nchi hii haitatawalika.
Kikisha nuka hapa wao wanajua wanamiliki nyumba nyingi nje ya nchi watakimbilia huko.
Misri na nchi nyingine zimepoteza amani kwasababu ya vyombo vya habari ambayo vilikuwa vinachochea mambo ya uongo ndani ya nchi yao.Leo hii wapo wapi?

Lazima sheria ziwe kali sana .kuna Viongozi wa vyama hapa wamezoea kuongoza kwa mabavu sana,Wanaruka vichwa na kuchapa viongozi wao wa ndani ya chama,Yaani kikwete aruke kichwa kumpiga mwenyekiti wa MKOA WA DSM wa chama cha mapinduzi?Kweli huu ndio uongozi?
Yaani sheria lazima ziwe kali sana,Watu wanapenda kulaumu kuwa mambo yapo ovyo wakati hawataki sheria ziwe kali juu yao na juu ya Utaifa wetu.
naomba sheri ya Magazeti iendee juu zaidi iwe kali zaidi.Kwani watu wananufaika na sheria hii kuwa butu

Sikuona jipya zaidi ya mipasho yake ya kawaida,nchi hii ndo nchi ya ajabu sana duniani,wakati watu wenye akili wakiumiza vichwa kutetea maslahi ya taifa wengine wanaleta mzaha katika mambo ya msingi.

Miongoni mwa Wabunge wenye kutoa kauli za uchochezi na wavuruga amani huyu jamaa yupo sana tu,kwa kuwa chama chake ndicho kipo madarakani lazima kimlinde.Ulitegemea lipi jipya kutoka kwake kwa kuwa tu kila jambo lake ovu vyombo vya habari vinafichua.Sheria kandamizi ndani ya nchi hii lazima zote ziondolewe ili katiba iliyoko na makando kando yake ionekane inasimamia haki kwa kile kilichomo ndani ya katiba hiyo,huwezi leo kutoa haki kwa mkono wa kulia kisha ukainyang'anya haki hiyo kwa mkono wa kushoto.Uko wapi uhuru wa kutoa habari na kupata habari!!!!!!
 
asubiri muda kidogo huyu jamaa tangu auwe ndugu yangu kule arusha ninahasira nae mbaya kabisa bado hajaingia tunduni tu......namngoja...
 
Back
Top Bottom