Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
1,198
Reaction score
452
Mfuko wa Fedha kwaajili ya Elimu ya juu ni jambo la msingi kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora bila usumbufu.
Wanafunzi wanakosa mikopo kwasababu ya ukosefu wa fedha,Mfuko huu utasaidia sana.
Ikumbukwe Mbunge huyu mwaka jana alitoa hoja binafsi ya kuanzishwa mfuko kwaajili ya elimu ya juu.

KUHUSU MAGAZETI.
Habari nzuri si habari,ila habari mbaya ndio biashara.Ni lazima tuweke sheria itakayobana hii tabia ya watu kuuza sana taarifa mbaya wakati kunataarifa nzuri nyingi za taifa lake hawazungumziii;
Lazima tukubari kuwa taarifa mbaya ni hatari kwa taifa n.k Sioni shida kwa upinzani kuona taarifa mbaya ni mtaji kwao kwasababu hawana dhamana na hawana uzalendo na taifa hili."adui yetu mkubwa ni yule aliyeadui wa Taifa letu.

Kuna wabunge hapa wanavyombo vya habari magazeti n.k,Kuuza taarifa.Kuna watu wanapaspoti mbilimbili ndani ya vyama vyao hapa wanamajumba nje ya nchi.Wapo tayari kuvuruga amani ya nchi na kukimbilia DUbai kwenye majumba yao..
Wanamiliki vyombo vya habari kwaajili ya kuchafua utulivu wa nchi,Niwachcochezi sana na wanatekeleza asima yao kuwa nchi hii haitatawalika.
Kikisha nuka hapa wao wanajua wanamiliki nyumba nyingi nje ya nchi watakimbilia huko.
Misri na nchi nyingine zimepoteza amani kwasababu ya vyombo vya habari ambayo vilikuwa vinachochea mambo ya uongo ndani ya nchi yao.Leo hii wapo wapi?

Lazima sheria ziwe kali sana .kuna Viongozi wa vyama hapa wamezoea kuongoza kwa mabavu sana,Wanaruka vichwa na kuchapa viongozi wao wa ndani ya chama,Yaani kikwete aruke kichwa kumpiga mwenyekiti wa MKOA WA DSM wa chama cha mapinduzi?Kweli huu ndio uongozi?
Yaani sheria lazima ziwe kali sana,Watu wanapenda kulaumu kuwa mambo yapo ovyo wakati hawataki sheria ziwe kali juu yao na juu ya Utaifa wetu.
naomba sheri ya Magazeti iendee juu zaidi iwe kali zaidi.Kwani watu wananufaika na sheria hii kuwa butu
 
Taswira kila anachofanya Mwigulu lazima upost humu?
hongera kwa kulipwa ili kumpa coverage JF
by the way sisi wa madongo kuinama hatuipati TBC ongea na Arusha One awe anarusha online bunge kama ilivokua zamani
 
Atubu dhambi zake kwanza za kupanga njama ili Rwakatare ahukumiwe kwa kesi za ugaidi,bila hivyo sitamwamini milele.
 
Huyo Ni mtu hatari, asiye na faida kwa watu wakawaida.
 
Ili apate pa kunyofolea pesa za serikali au? kama bodi haina pesa za kutosha kuwapa mikopo na hizo pesa zinatoka serikalini huo mfuko utatoa wapi hizo fedha?? kukiwa na mfuko huo na bodi kazi yake itakuwa nini?? ......Za kuambiwa...changanya na za mbayuwayu. I stand to be corrected but I think his Idea does not work to solve problems at all.
 
ni mzandiki mnafiki mropokaji asiyekuwa na haya hata katka uso wake hata kama akiongea,anaongea pumba tupu,yaaani ni pointless na tena haeleweki na anatetea tumbo lake,mungu ndo anajua hukumu yake,HAfAI hata kidogo
 
NIlidhani baada ya kupotea kwa mda mrefu atakuwa amepata busara nga kidogo lakini nimemwona bado amejaa ukilaza hasa baada ya kuunga mkono kipande cha sheria kilichonyofolewa sijui kwenye mswada wa habari wanaouandaa.
 
Huyu jamaa ni kichaa eti wapinzani wachunguzwe wanapasipoti mbili mbili wanamajumba nje ya nchi huyu jamaa Anatuona Sisi ni vilaza eeh!hakatwi mtu hapa!
 
Mwigulu ni noumer sana.

kwa pumba,na pia huyu mtu ni mhamiaji haramu yeye ndo ana passpot 3 na tena achunguzwe ndani na nje,ni mpangaji wa mbinu za kigaidi kuteka watu,ni m23 wa bongo,jina lake lenyewe lina utata
 
porojo porojo vtuko vyote hutoka kwake, huu jamaa ni zaidi ya mshe*zi
 
Taswira kila anachofanya Mwigulu lazima upost humu
hongera kwa kulipwa ili kumpa coverage JF
by the way sisi wa madngo kuinama hatuipata TBC ongea na Arusha One awe anarusha online bunge kama ilivokua zamani

Halafu alichozungumza huyo jamaa ni "pumba" tupu!!
 
Mfuko wa Fedha kwaajili ya Elimu ya juu ni jambo la msingi kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora bila usumbufu.
Wanafunzi wanakosa mikopo kwasababu ya ukosefu wa fedha,Mfuko huu utasaidia sana.
Ikumbukwe Mbunge huyu mwaka jana alitoa hoja binafsi ya kuanzishwa mfuko kwaajili ya elimu ya juu.

KUHUSU MAGAZETI.
Habari nzuri si habari,ila habari mbaya ndio biashara.Ni lazima tuweke sheria itakayobana hii tabia ya watu kuuza sana taarifa mbaya wakati kunataarifa nzuri nyingi za taifa lake hawazungumziii;
Lazima tukubari kuwa taarifa mbaya ni hatari kwa taifa n.k Sioni shida kwa upinzani kuona taarifa mbaya ni mtaji kwao kwasababu hawana dhamana na hawana uzalendo na taifa hili."adui yetu mkubwa ni yule aliyeadui wa Taifa letu.

Kuna wabunge hapa wanavyombo vya habari magazeti n.k,Kuuza taarifa.Kuna watu wanapaspoti hapa wanamajumba nje ya nchi.Wapo tayari kuvuruga amani ya nchi na kukimbilia DUbai kwenye majumba yao..

Lazima sheria ziwe kali sana .kuna Viongozi wa vyama hapa wamezoea kuongoza kwa mabavu sana,Wanaruka vichwa na kuchapa viongozi wao wa ndani ya chama,Yaani kikwete aruke kichwa kumpiga mwenyekiti wa MKOA WA DSM wa chama cha mapinduzi?Kweli huu ndio uongozi?
Yaani sheria lazima ziwe kali sana,Watu wanapenda kulaumu kuwa mambo yapo ovyo wakati hawataki sheria ziwe kali juu yao na juu ya Utaifa wetu.
naomba sheri ya Magazeti iendee juu zaidi iwe kali zaidi.Kwani watu wananufaika na sheria hii kuwa butu

Just Imagine haya ni mawazo ya Mchumi Daraja la kwanza.... Huyu jamaa amelaaniwa kabisa, ni miongoni mwa wanaoamini watawaongooza wajanja wachache kwa ridhaa ya Wajinga wengi

Huwa anajifanya anauchungu na watanzania lakini Huyu jamaa si ndiyo aliyeasisi tukio la kuwarushiwa bomu kwenye mkutano wa CDM Arusha?? Si ndiyo aliye sema wananchi wakendelea kuiunga mkono CDM na Kuwachagua madiwani wa Chadema watauawa?
 
Njaa kali ndo inamsumbua huyu jamaa halafu hajui kama anatumiwa kama toilet paper
 
apelekwe mirembe dom akili zake hazipo sawa na huyo ndo naibu kitbu mkuu wa magamba anajiita first class 4rm udsm@ economics,sasa jiulize kama n/ktbu mkuu ana akili za hivo je anaowaongoza wanaakili zikoje?????tafakari chukua hatua,hamia airtel ambako hakatwi mtu,CHADEMA ndo mwanzo mwisho
 
NChemba bana. Sasa mfuko wa elimu huku haelezei kwa undani tatizo la mfumo wa mikopo wa sasa watu waoanishe na hoja yake? Pia wanaosimamia mfumo wa sasa ni hiyohiyo serikal ya chama chake!! Sasa anaacha kukazia anakimbilia kuponda upinzan. Huyu sio mzima jaman. Kweli nawaambia ana laana ya damu za watu kule arusha na ndago.
 
Back
Top Bottom