Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

Hv Mwigulu alimpataje mke, mbona mtu mwenyewe mropokaji tuu, aumwanamke wake alipenda umbayuwayu wake na uropokaji? hili jamaa kama limefufuka vile halijui gari inaenda wapi, kupewa tuu kauongozi baaaasi anafyatuka kama rocketi hajui hatala kuongea na la kuacha , shenzi kweli, au ndio anataka uwazili mana siri ya mtu bwana aijua mwenyewe, jinga kubwa, nahisi hata mke wanaendana nyie mtafuteni mke muone nayeye ufyatu wake lazma wanaendana, nyooooooo:smile-big:
 
Kumbe mheshimiwa mwigulu siku nyingine anapoint!!! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Lameck hajui hata anachoongea.
Watu wa Chama cha Zamani hata akili zao ni za zamani.
Wanataka kuturudisha kwenye Uhuru na mzalendo kitu ambacho hakiwezekani.
Habari inayotakiwa kuandikwa ni ipi na isiyotakiwa kuandikwa ni ipi??

Mimi mawashauri Serikali ya zamani wafute internet duniani.
 
Huyu jamaa anayeitwa Mwigulu mimi nadhani hajitambui na hajui anafanya nini! Ingekuwa ulaya hata uraia ukiacha uongozi asingepata! Danganya ndugu zako wa kiomboi si watanzania! You are nothing in this country
 
Back
Top Bottom