Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

Jamaa sio mzima. Nadhan pia ni aina flan ya laana.

huyo jamaa na le mutuz sio wazima kichwani ata kidogo,natoa wito kwa serikali hawa wadau wakapimwe ili kuthibitisha haya niliyoyasema,wao muda wote wanahisi niwa propaganda mfu,intentionally they tend to distort facts,very sorry for them.
 
kama ambavyo alikosa uaminifu akaua arusha ili atoe ushahidi hata mbele za Mungu subiri kuziba mikojo uzeeni ulichofanya kitatafuna uzao wako kama unao
 
Pole sana kwa kazi ngumu. Nadhan utakuwa ndie katibu wake mwigulu. Ila kama sio basi utakuwa shonza.
Hii inaonyesha jinsi gan boss wako alivyo kilaza. Yaan kakupa notes zake za kwenda kuongea bungeni eti uje uziweke hapa wakat yeye anaongea!! Aibu kubwa sana hii kwan tulioelemika tumeshajua trick yenu.
Munayofanya ni ujinga yaani mnajitekenya huku mkicheka wenyewe hamumpati mtu.
 
Amethubutu kuwaaga wanae kuwa leo anaenda kuonge bungeni huu upuuzi wamtazeme kwenye tv?
 
4.jpeg View attachment 120093 ngumi_ccm.jpeg
Huyu jamaa huwa simuelewi hivi anazungumzia viongozi kupigana wakati hawa wana CCM wanapigana inamaanisha hakuwepo na hakuwaona wala kusikia na hizo sheria kali anazosema zitumike hapa zilitumika?

BOMU.jpg

Na je ni sheria ipi ilitakiwa kutumika kumtia hatiani kwa kuingiza hicho kifaa kutoka china na kurushwa katika mkutano wa CDM pale Soweto Arusha na kusababisha mauaji
 
NChemba bana. Sasa mfuko wa elimu huku haelezei kwa undani tatizo la mfumo wa mikopo wa sasa watu waoanishe na hoja yake? Pia wanaosimamia mfumo wa sasa ni hiyohiyo serikal ya chama chake!! Sasa anaacha kukazia anakimbilia kuponda upinzan. Huyu sio mzima jaman. Kweli nawaambia ana laana ya damu za watu kule arusha na ndago.
rafiki yake zitto,hawana maana katika taifa hili wanao lazimisha uzalendo na umaarufu
 
Na je ni sheria ipi ilitakiwa kutumika kumtia hatiani kwa kuingiza hicho kifaa kutoka china na kurushwa katika mkutano wa CDM pale Soweto Arusha na kusababisha mauaji

weka na picha za LEMA akimpiga yule mwenyekiti wa CHADEMA arusha, na ile ya SUGU akipigana bungeni!
 
Kama una mtoto anapenda siasa Mwigulu akianza kuongea lazima umtume dukani. Siasa za visasi, kila mfano ni mauaji! Yaani ni taabu tupu.
 
Hana jipya huyo savimbi anaweweseka tu!! Na hao walioficha pesa uswisi? Kama kuna gazeti chochezi basi ni Uhuru,Mzalendo et al! Kuhusu mambo ya ndani ya CDM hayamhusu kabisa na wasaliti wote lazima waondolewe ndani ya chama warudi magambani
 
KUHUSU MAGAZETI.
Habari nzuri si habari,ila habari mbaya ndio biashara.Ni lazima tuweke sheria itakayobana hii tabia ya watu kuuza sana taarifa mbaya wakati kunataarifa nzuri nyingi za taifa lake hawazungumziii;
Lazima tukubari kuwa taarifa mbaya ni hatari kwa taifa n.k Sioni shida kwa upinzani kuona taarifa mbaya ni mtaji kwao kwasababu hawana dhamana na hawana uzalendo na taifa hili."adui yetu mkubwa ni yule aliyeadui wa Taifa letu.

Domo kaya Mwigulu, je, hili gazeti lako ulilobandika hapa ndilo gazeti la kuwapa wananchi? matapishi matupu ukipewa nafasi ya kuongea unasimama na taharuki ya kupoteza uongozi, huko Dubai kama wewe huna jumba waulize wenzio mafisadi wa kizota, ama uliwasaidia kupitisha fedha za epa wewe ukaambulia vimada?
 
Huyu ni mtu wa ajabu sana. Elimu yake haijamkomboa na ninafikiri analekea kuchangayikiwa. Nonsense..
 
Tatizo watu wamejaa uchadema,unafiki na uzandiki. Hawana mapenzi na Taifa alichokisema Mwigulu kiko sawa tatizo wengi wana mawazo mgando.
 
Taswira kila anachofanya Mwigulu lazima upost humu
hongera kwa kulipwa ili kumpa coverage JF
by the way sisi wa madngo kuinama hatuipata TBC ongea na Arusha One awe anarusha online bunge kama ilivokua zamani

Taswira ndiye Mwigulu mwenyewe mkuu. Ulikuwa hulijui hilo? Yaani hapo gaidi anajipigia debe mwenyewe.
 
sikuwahi kumwazia huyu jamaa kama mwanasiasa bora,2015 akikosa ubunge ataajiriwa wapi kwa upeo mdogo alionao wa kufikir
 
Njaa kali ndo inamsumbua huyu jamaa halafu hajui kama anatumiwa kama toilet paper

Ngoja huyu Shog.. anayempa kichwa atakapoondoka, ndipo atakapojua kuwa hata wanaomshangilia sasa hivi kumbe hawampendi. Hakuna rangi ataacha ona!
 
huyo jamaa na le mutuz sio wazima kichwani ata kidogo,natoa wito kwa serikali hawa wadau wakapimwe ili kuthibitisha haya niliyoyasema,wao muda wote wanahisi niwa propaganda mfu,intentionally they tend to distort facts,very sorry for them.

Hehehe.. @Le Mutuz
 
Hivi ukiwa kiongozi CCM; automatically unageuka kuwa serikali?
Jamaa anasema: 'tumeleta huu muswada, tume.. Tume..'
Nilifikiri amekaimu uwaziri
 
Back
Top Bottom