Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,583
- 12,493
"Hakuna tofauti,,hata hivyo tofauti ni ndogo sana!.Hizi ni kauli mbili tofauti!Siku zote ninaamini kuwa kila nafsi itaonja mauti,mtasema sana kuwa hakuna tofauti,lakini ukweli utabaki palepale,maiti si hawezi kujitetea?R.I.P #Gashaza !
Kwani huu utaratibu wa kupiga mahesabu ni mpya?EWURA na TRA si wapo miaka nenda rudi?Tuseme hawajui kupiga mahesabu yao?Je #Chenge kwenye kamati ni mgeni kiasi cha kutojua maana ya tofauti hizo?Na kwa nini serikali walikuwa wanang'ang'ania kuwa hesabu za TRA ambazo ni ndogo ndio sahihi?Hata kipofu anajua kuwa mwakani kuna nini,na kwa nini Mwigulu ukabidhiwe taasisi nyeti ya fedha kipindi hiki!
kwa mujibu wa gazeti la mwanchi leo tarehe 20 may, TRA ndio wanaonekana wamer-report figure kubwa zaidi ya Ewura.
Kama ni kweli hii ina maana kuwa kuna mkanganyiko kati ya tasrifa za jana ambazo zilisema Ewura wame- report figure za juu zaidi ya TRA ikiwa na maana kuwa kama pesa zimetafunwa TRA.