Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Kadri mtu unavyozidi kushikwa ugoni,ndivyo na uwezo wako wa kufikiri unavyozidi kupungua.Nakushauri bro achana na wake za watu itakusaidia kufikiri kwa kutumia kichwa tofauti na sasa unavyofikiri kwakutumia tumbo.kabla sijaliona anguko la CHADEMA nitaliona kwanza anguko la ccm na wachumia tumbo wote ukiwemo wewe na babu yako Wasira!!endeleeni kuwa watabiri lakin kumbukeni akina sheikh Yahaya leo wakowapi waliowatabiria watu kufa wakafa wao.
 
Mwigulu njoo cdm huwe dereva wa zzk hila lazima tukuapishe kwanza kuliko kuendelea chama ch Ukweli kitakufa kivipi nyie mna rais gani wakuteua mwenye thamani ya Silaa wote hamkubaliki utaona tu 2015
 
Atakiufa yeye na Chadema itabaki ikiwa chama tawala.
 
Kweli Dr.Slaa na Chadema ni kiboko ya magamba kila kukicha Chadema si wanyamaze tuu au ni ile ya hatawakishinda tumewatisha. Tanzania inaelekea kukombolewa.
 
Hadidhi ya fisi kumfuata binadamu akifikiri atadondosha mkono.
 
Kwani CHADEMA inawategemea vija hao masalia? kuna vijana wengi sana ambao wanaakili kuliko hao walioondoka..........hilo la vijana hujafanikiwa ni kama mwigulu anacheza mchiriku pole sana.
 
Msigwa alisema :

1. Mchumi anayedai ukitaka kutatua matatizo ya uchumi basi uombewe, huyu Mchumi ni wa kuombea.

2. Yeye na wenzake wanaombea Wazinzi, wanaokamatwa na wake za watu.

Hivi ni nani alikamatwa na mke wa mtu????

 
Last edited by a moderator:
Hizo ni ndoto za mchana, endelea kukoroma Lameki
 
aka mkosa chama tatizo la Watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee Mtei
Hii imepitwa na wakati kama ulivyopitwa wewe.
 
Kwani walishasema nani anagombea? Kumbuka waligangaza dakika za majeruhi. Ni siasa uchwara kuombea mwenzako afe. Hivi ulishaona timu ya mpira inaomba wapinzani wafe? Si wanatak wawepo ili wawashinde bila ulalamishi? Tanzania inahitaji vyama imara ili kukuza demokrasi iwe ni cdm, nccr, cuf au ccm
 
Mwigulu,tuambie chanzo cha kupanda kwa gharama/bei za unga, mchele, maharage, mafuta ya kula, nishati, sukari, unga wa ngano, kodi ya nyumba, maji, umeme, vifaa vya ujenzi nk. Hii serikali inaweza kuvunja vibao vya matangazo ya biashara halali yaliyowekwa kwa kibali lakini ikaacha mabango ya waganga wa jadi yakining'inia kwenye nguzo za umeme huku yakihimiza watu wakapate msaada wa nguvu za kiume na yakaachwa tu; serikali ya loliondo! kwa karne hii kuwa na mawazo ya miaka 52 iliyopita ni hatari. Mabango haya yanawapa karama ya unabii kina mwigulu na mzee wa siesta (usingizi baada ya kushiba mchana) wasira kutoa unabii....watashindwaje wameambiwa na wataalam? Naifagilia chadema mno. Viva chadema! Viva viongozi! Viva wanachama na wapenzi wa chadema!
 
Mwigulu kapewa ulaji ccm kwa kuwa ni ndugu wa damu wa rizzy, ni mtoto wa mama mkubwa wa rizzy, mnapeana madaraka kindugu.
 

what i can say is mr mchemba's way of analysing issues is questionable, he is supposed to know that we are no more kids we see more than he can imagine, my advise be very very very careful to give us the proper candidate for the up coming elections, who is serious, clean by the real meaning, real loves and afeaid of god, auzike na msafi wa kweli, short of that you will live to remember this post.
 
Huuu ni" utaahira" wa wana CCM
Huu ni upeo finyu kabisa wa CCM
Huu ni "ujuha" wa viongozi wa CCM...

Mtu wanaedai kuwa ni mwanachama wao....wanamougopa kiasi hiki?...wanaombea astaafu!!!
Kumbe wanapo sema Zitto anafaa kugombea wanajua kuwa hana ubavu wa kuiongoza CDM!!

Wametusaidia kuwashtua wenye mashaka na uanachama wa Dr Slaa kwa CHADEMA!
 
Nadhani amekosea
2015 ni mbali sana , i THINK THIS 2013 NDIO MWISHO WENYEWE
 
Maneno yakisemwa na mpuuzi,halafa mwenye akili timamu akayashabikia mtu yule hatofautiani na kumwona mwehu kavua nguo naye akavua kisa eti ushabiki! NINAJUA,MNAJUA Kuwa Nchemba ni naibu katibu mkuu si kwa sababu anajua siasa ila kwa sababu alitoa MATUSI MENGI 2011 Kule Igunga na 2012 kule Arumeru,sasa kuropoka ndiyo kilichompa cheyo.Jimboni kwake hakuna maji,hakuna majosho kwa wafugaji,akina mama wanajifungulia sakafuni hakuna vitanda! Hayo ndiyo angezungumza kama angekuwa na akili Timamu,ADUI WA WATANZANIA SIYO CHADEMA angesema kabla ya 2015 ataua mafisadi,elimu duni,deni la taifa,wakwepa kulipa kodi, Ningemuelewa!
 

Mwigulu sikiliza. Wote walioiombea chadema kifo walikufa wao na wakaiacha ikishamiri.
Hivyo utakufa wewe tutakuzika singida na chadema itaendelea kustawi.
Wahaya wana msemo kuwa kadri unavyozidi kuombea mama yako wa kambo kifo hapo ndipo mama yako mzazi anapokufa
 
Mwigulu nchemba atakufa na chadema maana hana ajenda ya kitaifa au ya maendeleo kila siku anaweweseka na cdm,siku zinakwenda utabiri hautimiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…