Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Tujikumbushe Naibu Katibu Mkuu wa CCM alivyojigeuza mtabiri na kutabiri CHADEMA itakufa 2015. Baada ya haya matokeo ya serikali za mitaa nadhani ni wakati muafaka wa yeye kuja hapa na kukanusha

"CHAMA Cha Mapinduzi kimekitabiria kifo Chadema baada ya uchaguzi waa 2015 kikieleza kuwa CCM ikishinda, chama hicho kitakuwa hakina nguvu tena kwa kuwa Katibu Mkuu wake, Dk Willibrod Slaa atakuwa amechoka.


Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba aliliambia gazeti hili jana kuwa chama hicho kinapoteza umaarufu kadri siku zinavyokwenda hasa kutokana na siasa zake za uchochezi na mwaka 2015 ndio itakuwa mwisho wa chama hicho.


Alisema kitakufa na kitasahaulika kabisa, akisema sasa hivi vijana wameshaanza kuwakimbia, na kwamba anaamini pia baada ya 2015 hakuna diwani ambaye atagombea kupitia chama hicho.





CCM sasa yadai Chadema itakufa 2015 - Habari - mwananchi.co.tz
 
....

......Jamaa alienda Karatu akapewa uchifu kumbe wairaqw wanamchora tu kama zuzu kilichotokea !!!
 
huyo muuaji kauwa watu Arusha, akamuua mwenyekiti wa chadema kata ya usa river, akamuua wakala wa chadema igunga...

Sehemu zote alizopita kuhutubia ccm imepigwa chini vibaya sana kweli laana ya damu ni mbaya sana !!!
 
aliingizwa mkenge na ZZK akajua kumkata yeye ZZK ni kuikamata CDM, Mungu mkubwa wanaumbuka kwa zamu
 
mwiguru kwa watu wasiona akili anaweza kuaminisha kuwa mavi yanaweza kuwa kiungo cha cha kula lakn watu walioamini wakitumia baadae wanagundua ni ujuha ndo maana kila anapohutubia sehemu yoyote ile akiondoka tu baada ya muda fulani watu wanaanza kudharau hotuba yake na ndo maana sehemu zote alizoenda kwa ajili ya kampeni chama chake kimepigwa vibaya
 
mwiguru kwa watu wasiona akili anaweza kuaminisha kuwa mavi yanaweza kuwa kiungo cha cha kula lakn watu walioamini wakitumia baadae wanagundua ni ujuha ndo maana kila anapohutubia sehemu yoyote ile akiondoka tu baada ya muda fulani watu wanaanza kudharau hotuba yake na ndo maana sehemu zote alizoenda kwa ajili ya kampeni chama chake kimepigwa vibaya
Ni kweli kabisa.. Halafu yeye hajajitambua. Kila akimaliza mikutano yake vijana wanpost kwenye social network jamaa kasambaratisha ngome ya UKAWA. mara apokelewa kama mfalme. maneno kibao
 
MSALANI huamini kuhusu muuwaji??
Muuwaji alikamatwa akataja waliomtuma, akatorokea mahakani kiajabu!!
M/kiti USA alichinjwa na chainsaw,
kinyama kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom