Wana JF
Napenda tu kuwatayarisha wenzetu wa CHADEMA kuwa mwaka huu jiandaeni hamna rangi ambayo hamtaiona. Niliwahi kuandika humu ndani juu ya fedha chafu zilizoandaliwa kuimaliza CHADEMA kupitia vyombo vya habari nadhaini watu wengi hawakuelewa. Ukitaka kulifahamu hilo kwa mtu mwenye uelewa wa kupambanua mambo tazama magazeti ya leo. Angalia vichwa vya habari vya magazeti ya leo na habari zilivyoandikwa kwa mtizomo na mtiririko fulani kwa malengo fulani, hupati shida kujua zimeandikwa kwa malengo gani,tazama picha zilivyowekwa kwa aina fulani kudanganya watu wa mikoani. Mimi nimeshaona na natabiri mwaka huu utakuwa mgumu kwa CHADEMA ni vizuri viongozi wa juu CHADEMA hasa Slaa, Mbowe,Lisu, Mnyika kujiandaa kisaikolojia kwa kuwa nawaambia wakishangaa haya ya zzk wanaweza kuona ya Ulimboka au ya Mwangosi achiliambali kesi watakazofunguliwa, Mungu apishilie mbali.
Mkuu, akili za huyu hazina tofauti na akili za mwenyekiti wake ambaye amesema kuwa kupata fedha na ccm si tatizo bali unapewa kwa malengo gani namunazitumiajeMganga njaa tu huna lolote! Chadema inajimaliza yenyewe haiwezekani chama kiwe chini ya viongozi ambao wazinifu; waongo na wezi ambao wanajali maslahi yao zaidi kuliko ya chama halafu eti utegemee chama kiwe imara!
Hahahahahaaaaa, eti magazeti yote yamehongwa! Au wewe ndo unachukia ukweli ulioandikwa kwenye magazeti hayo?
Mtu akikaribia kukata roho hata kama ni kwa ugonjwa unaofahamika sharti mtu ashikwe uchawi. Kwetu kuna jamaa mmoja alijinyonga lakini watu kadhaa walishikwa uchawi. Ni sawa na hii misukule ya CHADEMA
Mkuu, akili za huyu hazina tofauti na akili za mwenyekiti wake ambaye amesema kuwa kupata fedha na ccm si tatizo bali unapewa kwa malengo gani namunazitumiaje
Aaah cdm ife sababu kumtimua zitt? Sahau kabisa hii sio ccm ambayo mwenykt wake alisema wajivue magamba baadae akaanza kulalama eti wenzake wamemgeuka...hawez hata kucmamia maamuz yake....Mtu akikaribia kukata roho hata kama ni kwa ugonjwa unaofahamika sharti mtu ashikwe uchawi. Kwetu kuna jamaa mmoja alijinyonga lakini watu kadhaa walishikwa uchawi. Ni sawa na hii misukule ya CHADEMA
aka mkosa chama tatizo la Watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee Mtei
Hiyo tenda kaishaichukua Ritz,
Wewe itabidi u suply mbege , si unajua tena marehemu katokea wapi...
hiyo sio hoja ya kuwa chadema ni chama cha wachaga..! ila unaonekana hujui nini maana ya vyama vingi.aka mkosa chama tatizo la Watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee Mtei