Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,953
Nasikia ameenda kufanyiwa matibabu ya dharura ujerumani.Hali tete mkuu,na kamati ya bunge iko njiani kukagua matumizi ya pesa za ruzuku.Babu presha inapanda presha inashuka na sukari inazidi kukolea.
Hiyo tenda kaishaichukua Ritz,Mkuu MSALANI, ninaomba mnipe tender ya ku-Supply chakula kwenye mazishi ya huyu ndugu yetu CHADEMA.
Hawa ndugu zetu wanavyopenda deal, hii tenda atapewa MASSAWE CATERING SERVICES!Mkuu MSALANI, ninaomba mnipe tender ya ku-Supply chakula kwenye mazishi ya huyu ndugu yetu CHADEMA.
Nawasikitikia sana makamanda kwani hata 2014 hatujkafika na hali ndio hii...
Ndugu zanguni,
Wote tunajua kuwa chadema kwa sasa haifanyi tena siasa bali wako bize na mipasho hapa mtandaoni na magazetini. Viongozi kwa makamanda wote wanarushiana madongo mazito mazito mpaka hata sisi watani tunaanza kuwa na wasi wasi sasa na hatima ya hiki kikundi.
Chadema ni kama nyumba ya barafu tu, iling'ara sana wakati wa baridi lakini sasa jua limeanza kuwaka ina maana joto litaongezeka na matokeo yake itayeyuka kama barafu na kupotea kabisa.
Kwa staili wanayofanya sasa ya kuchanana live hapa jukwaani , mwisho wake ni kumwigambana halafu kila mtu atachukua hamsini zake.
R.I.P CHADEMA
GONE TOO SOON!
JITAMBUE!
Ndiyo ilishakufa hivyo ati!Tena ife kabisaaa maana tuliiamini sana
Usemi huu sasa umeanza kujidhihirisha kutokana na mienendo ya viongozi wa cdm na wafurukutwa wao, kila pembe ya nchi hii ukiwakuta wanajadiri hawawezi kusema sentesi tano hajaweka matusi, kashfa, kutaja ccm, neno katumika, kahongwa na magamba, msaliti n.k.
Usemi huo una maana hii ; mtu akibeba mzigo mzito sana kuzidi uwezo wake, na mbaya zaidi mzigo unakuwa hauna faida yeyote kwa yule aliyeubeba wala kwa watu ndani ya jamii inayomzunguka, mtu huyu akichoka hutafuta mahali akautua ili apumzike, kwa sababu ya uchovu mkubwa mtu huyu huamua kuutua mzigo wake na kuegemea jengo moja bila kujua ni jengo la nini mara maumivu makali humkuta na kukatisha uhai wake! watu wapita njia hupita na kukuta mtu kafa ili hali kaegemea jengo hilo, mtu mmoja husikika akisema "mtu huyu kafa ameegemea choo", Ndivyo itakavyokuwa kwa wafurukutwa wa CDM, hawajatambua kuwa cdm ni mzigo usiobebeka, na hauna tija kwa Taifa jema la Tanzania. Wanatakiwa kujitambua vinginevyo "watakufa wakiwa wameegemea choo".
Mi najuta kupoteza muda wangu nashabikia cdm kumbe wanapokea mahela ya maccm!!
Mbowe sijui biashara zake haramu zitaendaje SACCOS ikishakufa!
Hinishindi mie
Wana JF
Napenda tu kuwatayarisha wenzetu wa CHADEMA kuwa mwaka huu jiandaeni hamna rangi ambayo hamtaiona. Niliwahi kuandika humu ndani juu ya fedha chafu zilizoandaliwa kuimaliza CHADEMA kupitia vyombo vya habari nadhaini watu wengi hawakuelewa. Ukitaka kulifahamu hilo kwa mtu mwenye uelewa wa kupambanua mambo tazama magazeti ya leo. Angalia vichwa vya habari vya magazeti ya leo na habari zilivyoandikwa kwa mtizomo na mtiririko fulani kwa malengo fulani, hupati shida kujua zimeandikwa kwa malengo gani,tazama picha zilivyowekwa kwa aina fulani kudanganya watu wa mikoani. Mimi nimeshaona na natabiri mwaka huu utakuwa mgumu kwa CHADEMA ni vizuri viongozi wa juu CHADEMA hasa Slaa, Mbowe,Lisu, Mnyika kujiandaa kisaikolojia kwa kuwa nawaambia wakishangaa haya ya zzk wanaweza kuona ya Ulimboka au ya Mwangosi achiliambali kesi watakazofunguliwa, Mungu apishilie mbali.