Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Kama Dj Tu,

Ila mimi nina cheti...

Ahaa Ningeshangaa kama umefika hata form six!Kumbe najadiliana na Mtu ambae bado ni mjinga kabisa kichwani,hayo ndiyo matatizo ya serikali yetu tunalalamika kwamba kuna Vijana wengi wameshindwa kusoma shule au wamesoma shule zenye viwango vya chini sana na hata wengine IQ zao unashangaa kabisa hasa watu design kama yako wewe! huoni kabisa Tatizo la nchi yako umekua mjinga unashabikia vitu visiyo vya maana kabisa vya kijinga.Wewe Lukosi ni tatizo lilosababishwa na CCM kutokua makini na wala hata sikulaumu maana umeharibiwa na mfumo! cha muhimu wenye mwanga wapambane ili tuwakoe ndugu zetu nyie msiojitambua kabisa.
 
Kama Dj Tu,

Ila mimi nina cheti...

Ahaa Ningeshangaa kama umefika hata form six!Kumbe najadiliana na Mtu ambae bado ni mjinga kabisa kichwani,hayo ndiyo matatizo ya serikali yetu tunalalamika kwamba kuna Vijana wengi wameshindwa kusoma shule au wamesoma shule zenye viwango vya chini sana na hata wengine IQ zao unashangaa kabisa hasa watu design kama yako wewe! huoni kabisa Tatizo la nchi yako umekua mjinga unashabikia vitu visiyo vya maana kabisa vya kijinga.Wewe Lukosi ni tatizo lilosababishwa na CCM kutokua makini na wala hata sikulaumu maana umeharibiwa na mfumo! cha muhimu wenye mwanga wapambane ili tuwakoe ndugu zetu nyie msiojitambua kabisa.Mambo mengi unayo andika humu huwa naona vichekesho sana,una argue kama mtoto mdogo wa Primary.
 
Watu wote ambao walipanda basi la CHADEMA kati kati ya msitu wakiona Majumba na watu wanaoishi humo hudhania safari imefika mwisho nahushuka kupitia madirishani.Miongoni mwa watu waliokutwa na hali hiyo ni LUKOSI,SHONZA na MWAMPAMBA. Lakini basi linapoendelea na safari wao huanza kulalama na kumtusi dereva, bahati nzuri dereva anajua mwisho wa safari ni wapi hivyo anakanyaga mafuta bila wasi wasi na safari inaendelea. Lukosi na wenzako wenye mikosi juweni Chadema haiwezi kusambaratika kabla ya kifo cha CCM.

 
Kwa kifupi hapo unakuwa umemtukana mwenyekiti wako DJ
 
Ni rahisi mama yako au familia yako kusambaratika kuliko chadema kufa, jaribu tena baadaye
 
Lukosi,inaelekea chadema inakutia hofu sana.Unachokifanya ni kama fisi anayemfuata mtu anayetembea akisubiri mkono uanguke ili apate kitoweo.Kwa vile mkono hauanguki na fisi anakosa kitoweo,hata chadema haiwezi kufa na Lukosi utakosa kitoweo.Usalama wako uko kuzimu,ni vema ukaenda huko mapema kabla ya 2015 ili macho yako yasije yakaona mambo ambayo usingependa uyaone.
 
Ukweli ndo huu,naiona CHADEMA inaelekea mwisho hata kama hawatakubali.Naiona CHADEMA kupungua nguvu kutoka chama kikuu cha Upinzani Mpaka kuwa msindikizaji kama wengine.

CHADEMA kimekuwa Chama chenye Nguvu ya watu wachache ambao hao ukiwakosoa basi utaonekena Msaliti,tofauti na CCM inaweza kumkosoa Mwenyekiti Taifa lakini usionekane Msaliti.

Nitaendelea.
 
Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.

Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
 
malizeni kwanza rushwa ndani ya chama lenu zee, hongera JK kuwaambia ukweli.
 

CCM ni chama chenye wala rushwa wengi sana - by Jakaya Kikwete..!!
 
Mtu yeyote ambaye hata tatizo kwenye upeo wake lazima akerwe na siasa hizi chadema make ni siasa za kiulaghai kwa maslahi yao.
 
mtasema sana,,, kazi bado haijaanza wazee wa lumumba fc giza nene 2015
 
Mkuu naona unajaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili huwezi kutoka lazima yakupeleke tu,
chadema ni chama cha kilaghai na utapeli ndiyo maana zito kinamkera sana.
 
Mtu yeyote ambaye hata tatizo kwenye upeo wake lazima akerwe na siasa hizi chadema make ni siasa za kiulaghai kwa maslahi yao.

Hatimaye Simiyu Yetu 'nimekuona'...!!
Vipi ile issue ya Luhanjo kukwapua pesa Ulaya umefikia wapi..??
Uliahidi kufanya 'uchunguzi' lakini mpaka leo hamna mrejesho hapa JF...!!!
 
Mkuu naona unajaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili huwezi kutoka lazima yakupeleke tu,
chadema ni chama cha kilaghai na utapeli ndiyo maana zito kinamkera sana.

Huyo Zitto alikerwa na mshahara wa waziri mkuu na rais (wa CCM)..!!
Hapo vipi..???
CCM ni chama cha kilaghai kabisa..!!
 
Chedema jipangeni upya hizi siyo zama za kudanganyana na kuburuzana wamechemsha sana tu watanzania hawadanganyiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…