namuonea huruma huyo dereva tu, mana mara ataambiwa hapo punguza speeda halafu ghafla ataambiwa ongeza speed wee -----, huoni hapa hapafai?
Ukiona mtu anaunga mkono CCM basi ujue anafaidika nayo kwa namna moja au nyingine, tofauti na hapo basi mtu huyo ama ni mzembe mzembe au hana elimu ya uraia.
Hoja za kibavicha bavicha.Ukiona mtu anaunga mkono CCM basi ujue anafaidika nayo kwa namna moja au nyingine, tofauti na hapo basi mtu huyo ama ni mzembe mzembe au hana elimu ya uraia.
Hoja za kibavicha bavicha.
Wewe ndiyo hujui elimu ya uraia kwa sababu kama ungekuwa unajua elimu ya uraia ungejua kuwa waliopigia kura na kuichagua CCM walifanya hivyo kwa sababu wanafaidia kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa kuwepo CCM madarakani.
How can you vote in someone or a political party ambayo hutegemei kukufaidisha na kukunufaisha kisiasa, kiuchumi na kijamii. You have to be MAD to do it.
Haya mawazo yenu ya kibavicha bavicha yatawatoka lini.
Ama kweli bavicha ni janga la Taifa.
Why do I have to mark your mentally poisoned cessation. I can only mark and conclude kuwa hiki unachokisema ni mihemko yako ya kisiasa inayochagizwa na upeo wako mdogo kisiasa.Nina wasiwasi kama akili ya huyu mtu iko sawasawa, kila bandiko lazima liende na neno Bavicha. As if kila anayejumuika humu ni bavicha. Na kwa hakika arusha hamchukui kata hata moja. Mark my words.
Mwanadiwani hawa jamaa mimi wananifanya nisiwaamini eti kila siku mwigulu kazomewa inamaana watu wa arusha wanamuona mwigulu tu hamna mtu mwingine kwenye hizo kampeni au kwa vile mwigulu si mchaga wala muarusha,story zingine kama za kupikwa hivi kweli hizi ni akili za bavicha.Hoja za kibavicha bavicha.
Wewe ndiyo hujui elimu ya uraia kwa sababu kama ungekuwa unajua elimu ya uraia ungejua kuwa waliopigia kura na kuichagua CCM walifanya hivyo kwa sababu wanafaidia kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa kuwepo CCM madarakani.
How can you vote in someone or a political party ambayo hutegemei kukufaidisha na kukunufaisha kisiasa, kiuchumi na kijamii. You have to be MAD to do it.
Haya mawazo yenu ya kibavicha bavicha yatawatoka lini.
Ama kweli bavicha ni janga la Taifa.
Wewe nenda zako usifikiri watu wote wanaakili kama za kwako imani yako si imani yangu na hivyo hatuwezi kupenda kitu kimoja.Ukiona mtu anaunga mkono CCM basi ujue anafaidika nayo kwa namna moja au nyingine, tofauti na hapo basi mtu huyo ama ni mzembe mzembe au hana elimu ya uraia.