Mwigulu Nchemba azomewa Themi-Arusha

Mwigulu Nchemba azomewa Themi-Arusha

Mkuu kwani na wewe uko kwenye hiyo ziara ya Mwigulu, kwa nini unasema mada haikuwa ya ukweli, si utuwekee ushahidi wa kupinga basi, lakini pia kumbuka kuwa kwa kiwango kikubwa ccm imechokwa na ndo maana unaona kama inaonewa, hebu angalia hata humu jamvini magamba wanapata support ya wachache sana, na ndio mahodari wa story za kutunga, maana hata nguvu ya hoja huwa hakuna kwenye mabandiko yao basi ali mradi tu.
https://www.jamiiforums.com/chaguzi...ni-arusha-kampeni-za-udiwani.html#post6550269
 
Back
Top Bottom