Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

mzee wa uga umechoshwa na skafu yako ama kwa lugha nyepesi dawa yako imexpire nenda ukapate dozi nyingine otherwise umekwisha ndg
 
Nasikia skafu imechemshwa na babu hiyo.
 
katika yote mie nampa sifa mwigulu kwa hili pekee.
View attachment 161334


sent from my ipad using jamiiforums
10404442_658642707553060_3623413244981417740_n.jpg
waziri wa kikwete, tena waziri wa fedha
 
Spika Makinda amemwamuru Mwigulu kuvua mara moja ndani ya ukumbi wa bunge leo jioni!

Pongezi spika kwa kumkumbusha Mwigulu nidhamu ya bunge!

Ex Bot ni mtata sana majina yake ni ya kuforge singida na mwanza no linkt that's 1 na why JK alimpa post nyeti m2 domo kaya hongera madam spika kwa kuanza kumtia adabu mzee wa masifaa anavaa skafu anazania tuko Russia kupindi cha winter. Nani ambaye haijui identity ya nchi yake?
 
Naona Makinda kama akili imeanza kurudi kwa mbaaali... Nimeona jioni wakati wa kupitisha bajeti ya alimkalisha chini Dr. Kigwangalla... sina uhakika lakini
 
Najuwa waliokoment wengi kwenye hii thread ni opponent that's is probs na tunajuwa kuwa mwiguru ndio kiboko wa upinzani
 
Najuwa waliokoment wengi kwenye hii thread ni opponent that's is probs na tunajuwa kuwa mwiguru ndio kiboko wa upinzani

Pole sana lio-n unatatizo la ufahamu wa mihimili ya nchi madam spika haswa ntoaji wa kafu yake ushabiki wetu wapi simba mchanga. Kuwa pro-ccm au pro other parties that's how democracy can to be elastic.
 
Najuwa waliokoment wengi kwenye hii thread ni opponent that's is probs na tunajuwa kuwa mwiguru ndio kiboko wa upinzani

Kitambaa cha mwigulu kinahusiana vp na opponent, na aliyemwambia akivue ni opponents, soma vizuri thread kabla hujapost urojo urojo hapa
 
Hawana watu wa kuwa mawaziri. Wakaamua kumpa huyo mwenye first class ya uchumi ya udsm. Inasikitisha kwa kweli hii ndo tz

Watanzania walishageuzwa misukule na lichama la kijani la wauaji wakubwa
 
Nampomgeza madam makinda kwa hili,it was too much jamani,jamaa anapenda sifa za kitoto sana.
Ila Nina swali moja tu,mbona mama tibaijuka alifunga scaf shingoni Jana alipokuwa anajibu hoja za wabunge,au kwa wanawake scaf is part of dressing?naomba tu nijulishwe.
 
Back
Top Bottom