Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

mjinga huyu ha ha ha ha japo yeye anazidi kutengeneza hela siye tumebaki kusema mjinga mpenda sifa ha ha ha ha...
 
By Mwigulu Nchemba :
Ninao ushahidi. Sio wa madiwani ni viongozi wa kitaifa
wa chadema . Nilishapeleka vyombo vya usalama.
Wakimaliza kufanyia kazi nitaiweka video kwenye media
 
Mwigulu Nchemba ni mpenda sifa sana.Anadhani kila mwananchi anaipenda skafu yake na hivyo kumuonyesha kuwa mbunifu na wa kipekee. Awe anaheshimu mahali anapokuwa kama Bungeni, Mahakamani,kanisani na kwingineko kunakohitaji heshhima ya juu. Hongera Spika Makinda kwa kusema na kuamuru kuvuliwa kwa skafu ya Mwigulu Nchemba

Petro E. Mselewa una wivu wa kike!
 
Last edited by a moderator:
Anajifanya ana uchungu na Taifa kumzidi Nyerere ambaye alijitolea uhai wake ili Tanganyika ipate uhuru.
 
Back
Top Bottom