Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

Hawana watu wa kuwa mawaziri. Wakaamua kumpa huyo mwenye first class ya uchumi ya udsm. Inasikitisha kwa kweli hii ndo tz

Nchi yenye udongo wenye dhambi, wanalisaka sana taji la ushindi-roma mkatoliki
 
Cjamuongelea aliyemvuwa nimewaongelea walio comment negatively kwenye hii thread wengi ni bendera tu

Hata kama unampenda, matendo ya kishamba na kijinga mwambie mtu ajirekebishe. Kwa maana hyo ss em ni sifa kuwa na jamaa wa dizaini hyo. Angalia anachofanya kwenye pkpk waziri mzima. Kujifahamu ni vigumu mara nyingine lkn kusikiliza watu wanakusemaje ni muhimu zaidi. Wewe unafagilia mambo ya kijinga siku akijinyea mbele za watu ndy utajua yule jamaa hamnazo
 
Thanks madam Speaker kwa kumwambia ukweli huyo mjinga anayedhalilisha bendera ya Taifa
Spika Makinda amemwamuru Mwigulu kuvua mara moja ndani ya ukumbi wa bunge leo jioni!

Pongezi spika kwa kumkumbusha Mwigulu nidhamu ya bunge!
 
Spika Makinda amemwamuru Mwigulu kuvua mara moja ndani ya ukumbi wa bunge leo jioni!

Pongezi spika kwa kumkumbusha Mwigulu nidhamu ya bunge!

mwigulu ni kibaraka wa kikwete ndo maana kil ck anaongea utumbo bongeni,skafu ya unafiki wa kipumbavu ni akili za kutaka afahamike ikulu kwa kujipendkz kwake,,,mwigulu sio mtu ni mti
 
Mwigulu Nchemba ni Mzalendo na Mtanzania halisi , siyo Mtanganyika ambayo hatuitaki Kamwe.
 
Back
Top Bottom