Mwigulu Nchemba atuma salamu kwa Tundu Lissu

Kaka mwigulu kumbuka tuliwahi kuwa na wazari kabla yako..tena mwenye njozi za kufanana nawe kuja kuongoza mama Tz.. Ulipofika uchaguzi wale wale anaoshinda nao walimuangusha...wala hawakujali ubest wake na mkulu!! Angalizo tu unapocheza ngoma, cheza kwa step!!
 
Mbona huyu waziri ndio anafanya uhaini kwanini polisi wasimkamate atueleze nani kamtuma lissu
 
Akitoa salamu zake baada ya kukaribishwa na Mheshimiwa Rais Magufuli leo, Mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani Ndg Mwigulu Nchemba akitumia mfano wa wimbo ambao huimbwa jeshini kwamba "asolipenda jeshi letu atoroke saa nane usiku",

Amemtaka yule alotumwa na hao walomtuma kuitisha vipress conference na kutoa maneno ya kichochezi ili kuwaonesha hao walomtuma kwamba kazi yao anaifanya kisawasawa, kwamba kama wimbo huo wa jeshi unavyosema basi MTU/watu hao watoroke USIKU WA MANANE.

Nachoona hapo anachochea hasira za Watanzania wenye utu
 
Akitoa salamu zake baada ya kukaribishwa na Mheshimiwa Rais Magufuli leo, Mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani Ndg Mwigulu Nchemba akitumia mfano wa wimbo ambao huimbwa jeshini kwamba "asolipenda jeshi letu atoroke saa nane usiku",

Amemtaka yule alotumwa na hao walomtuma kuitisha vipress conference na kutoa maneno ya kichochezi ili kuwaonesha hao walomtuma kwamba kazi yao anaifanya kisawasawa, kwamba kama wimbo huo wa jeshi unavyosema basi MTU/watu hao watoroke USIKU WA MANANE.

Sasa tujikite katika mada,je Taifa linamchukuliaje Tundu Mwana wa Lissu?Huyu anasemwasemwa kama anatumiwa na wazungu,je hao wazungu wanaosemwa wanamtumia Tundu Mwana wa Lissu wameshindwaje kukipata wakitacho direct serikalini mpaka wamtumie Tundu mwana wa Lissu?

Bajeti ya taifa letu inafadhiliwa na nani?
Maendeleo yetu yanaletwa na nani kwa asilimia kubwa?
Hao wazungu hawana nafasi ya kutumia wema wao wa msaada kutumaliza pasina Kumtumia huyo Tundu Mwana wa Lissu?
 
Kwa watanzania tulio wengi, tunathamini anachokifanya Tundu Lissu na kwa hakika ndiye shujaa pekee aliyejipambanua kupambana na utawala wa kidikteta wa awamu ya tano. Tutaendelea kumuunga mkono kwa ujasiri wake huu. CCM ndo imeharibu na inaendelea kuharibu uchumi wa nchi hii ikiwa ni pamoja na kuvuruga amani na mshikamano miongoni mwa wananchi.
 
Mbona KIBITI Watanzania wenzetu wanauwawa lakini hatoi tamko?.
 
_20170721_092319.JPG

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom