Mwigulu Nchemba atuma salamu kwa Tundu Lissu

Sumve 2015

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
4,415
4,055
Akitoa salamu zake baada ya kukaribishwa na Mheshimiwa Rais Magufuli leo, Mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani Ndg Mwigulu Nchemba akitumia mfano wa wimbo ambao huimbwa jeshini kwamba "asolipenda jeshi letu atoroke saa nane usiku",

Amemtaka yule alotumwa na hao walomtuma kuitisha vipress conference na kutoa maneno ya kichochezi ili kuwaonesha hao walomtuma kwamba kazi yao anaifanya kisawasawa, kwamba kama wimbo huo wa jeshi unavyosema basi MTU/watu hao watoroke USIKU WA MANANE.
 
Akitoa salamu zake baada ya kukaribishwa na Mheshimiwa Rais Magufuli leo, Mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani Ndg Mwigulu Nchemba akitumia mfano wa wimbo ambao huimbwa jeshini kwamba "asolipenda jeshi letu atoroke saa nane usiku", amemtaka yule alotumwa na hao walomtuma kuitisha vipress conference na kutoa maneno ya kichochezi ili kuwaonesha hao walomtuma kwamba kazi yao anaifanya kisawasawa, kwamba kama wimbo huo wa jeshi unavyosema basi MTU/watu hao watoroke USIKU WA MANANE.
Ajue ICC atakuwa peke yake!
 
Back
Top Bottom