Mwigulu Nchemba atuma salamu kwa Tundu Lissu

Mbegu za chuki zinamea kwa kasi ya 4g,kama ungesoma maoni kwenye page ya facebook kuhusu msiba wa mke wa mwakyembe ungesikitika sana binafsi nilisikitika sababiu namfahamu yule mama kupitia mtoto wake,she was a very nice lady lakini yale maoni yalionyesha dhahiri chuki dhidi ya watawala na familia zao sababu kuna kundi linaonyeshwa ka mbwembwe zote kwamba wao si watanzania,wananyanyaswa kibabe na hawana la kufanya,hii ni hatari mno,mnoooooo.Aibu sana kwa waliokuja na hii strategy,kudos kwa ile strategy ya Jk hata kama ilikuwa ya kinafiki ila ilisaidia chuki haikuwahi kushuka chini hadi kwa wananchi kiasi hiki.
Maoni kwenye page ya nani? Sasa kama ni kwenye page ya chadema unategemea hao nyumbu wawe na maoni gani?

......
 
Mtu mzima mwenye cheo cha waziri anahorojoa!
Walidanganyika na ile skafu anazovaa na tai zake.Jamaa ni hewa
 
Naanza kuliona taifa la watu waliozoea milio ya risasi, kusoea kukamatwa kamatwa, watu wasiopenda vyombo vya dora, watu waliokinai na nafsi zao, watu ambao kufa kwa ajili ya jambo fulani kwao ni sherehe. Linaanza kulinyemelea Tz
 
Akitoa salamu zake baada ya kukaribishwa na Mheshimiwa Rais Magufuli leo, Mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani Ndg Mwigulu Nchemba akitumia mfano wa wimbo ambao huimbwa jeshini kwamba "asolipenda jeshi letu atoroke saa nane usiku",

Amemtaka yule alotumwa na hao walomtuma kuitisha vipress conference na kutoa maneno ya kichochezi ili kuwaonesha hao walomtuma kwamba kazi yao anaifanya kisawasawa, kwamba kama wimbo huo wa jeshi unavyosema basi MTU/watu hao watoroke USIKU WA MANANE.
Mwigulu wizi wa vipuri vya magari tu imemshinda sembuse lisu?
 
Naanza kuliona taifa la watu waliozoea milio ya risasi, kusoea kukamatwa kamatwa, watu wasiopenda vyombo vya dora, watu waliokinai na nafsi zao, watu ambao kufa kwa ajili ya jambo fulani kwao ni sherehe. Linaanza kulinyemelea Tz
Udikteta wa Mtukufu malaika wa chato ndiyo utaiondoa Amani ya Tanzania
 
badala ya kutuma salamu kwenye nyumba za askari na maofisa wengine wote wa usalama, badala ya kutuma salamu kwa majambazi yanayoteka mitaani na kunyang'anya mali za watu, badala ya kutuma salamu kwa ACACIA unatuma salamu kwa LISU. ivi mliapa kupambana na lisu au, wajamani ngachoka mie ati!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Maoni kwenye page ya nani? Sasa kama ni kwenye page ya chadema unategemea hao nyumbu wawe na maoni gani?

......
page ya gazeti la mwananchi na sio suala la unyumbu wala ufisi,hii ishu hata mtaani tayari ipo ingawa zanzibar walishaizoea inasikitisha jinsi inavyomea kwa kasi huku tanganyika
 
Back
Top Bottom