Mwigulu Nchemba akiwaaga wanaTimu wa Kampeni ya CCM Arusha leo.

Huu ndiyo ujumbe wake,

Poleni sana wana Arusha kwa mlipuko wa bomu jana.

Mungu ibariki Arusha

Mungu ibariki Tanzania.

Habari zaidi pata kutoka TANURU LA FIKRA.

Ambatanisho la Picha kwenye kikao cha kuagana.

Mwenyezi Mungu sio wa kudhihaki na kumfanyia mzaha.
 
Diwani,

Hakuna niliposema chochote cha kukataa.

Ndiyo maana nimemaliza kwa kusema Mungu anayatazama yote.

Unajya dhamira zenu zimekufa,ndiyo maana kichwa chako na wengine kama wewe wanawaza,kutapanya,kubomoa na kuua.
Mimi leo nimewaombea nyote rehema.

God will stand.vita hivi si vya damu na nyama.
Diwani wala usipate tabu ya kugombana na utu/personality tangu.
 
Ndoa lini mama au mpaka watoto wafike 6 ndo mfunge
Watu hawa wapo,kwa makusudi maalum.

1.inawezekana upeo wao wa kuchambua mambo hapo ndipo ulipifikia.
2. Wengi wanaweza kuwa ni wale wanaotegemea fadhila,wa njia ya masomo,biashara.......
3.baba zao wako kwenye mkondo uleule.

4.sura nyingi si za wakazi wa Arusha.chunguzeni hilo mtakuja kutupa habari.

Pamoja na yote,tunayoyafanya Mungu wetu yupo anatutazama.
 
Kama wako kwa makusudi maalum hata wewe uko hapo ulipo kwa makusudi yako maalum kama wao.


Kila binadamu ana upeo alijaliwa katika kuchambua mambo lakini haina maama upeo wako unawazidi wanadamu wote. Hata wewe inawezekana una upeo kiduchu wa kuchambua mambo.

Huwezi kuleta dhana ya WANAWEZA na kuifanya kuwa ni hoja. By the way, kwani watu wanaojiunga na CHADEMA hawategemei chochote katika maisha yako kutoka CHADEMA. Haya ndiyo mawazo ya kidikteta kuwaona watu walioko kwenye vyama vingine kama ni wajinga na uwezo wa kuchambua mambo ni mdogo zaidi yenu. Who are you to judge human. Hii ndiyo demokrasia, wanasema ukitaka unaacha. Watu wana maamuzi na maisha yao kama ulivyo na maisha yako.

Huu ni wezo wako wa kufikiri pia.
Pole,why don't you go to positive side instead of neg.

Kwanza umejuaje kama wana baba?. Kwa hiyo wewe uko CHADEMA kwa vile baba yako yuko huko?. Hizi ni fikra mufilisi kabisa.

Very stupid argument,think twice


Kwani kuna muhuri wa watu wa maeneo fulani. Haya mawazo yenu ya kimajimbo jimbo ndiyo yanaleta hizi mentality za PROFILING. Hao ni Watanzania.
Mbona moyo wako umejaa chuki,tulia mpango wenu umetekelezeka tofauti,hapo mjue kuwa God is watching.


You seem to be desperate and frustrated?. Vile vile kumbuka Usilitaje bure jina la Mwenyezi Mungu.
Haaaaa,not me never will be for non issues kama hizi
Only it is happening kwa sababu nalipenda taifa langu.
Vinginevyo ningeishi hata uganda kwa wajomba.

Hizi ndizo siasa. Wanasema, usipopenda, unaacha.
Ndiyo maana? Tunasema,ninyi mna fahari za dunia sisi tuna Mungu.

Pole sana,sitaacha kumtaja Mungu,kwakuwa na tambua dunia na uhai wangu ni vyake.
Cheers.
 
Watu hawa wapo,kwa makusudi maalum.

1.inawezekana upeo wao wa kuchambua mambo hapo ndipo ulipifikia.
2. Wengi wanaweza kuwa ni wale wanaotegemea fadhila,wa njia ya masomo,biashara.......
3.baba zao wako kwenye mkondo uleule.

4.sura nyingi si za wakazi wa Arusha.chunguzeni hilo mtakuja kutupa habari.

Pamoja na yote,tunayoyafanya Mungu wetu yupo anatutazama.

Wewe kwenu Bukoba hakuna anayekupinga wewe unawajua wakazi wote Arusha, kwani wewe upo Chadema kwa sababu gani bila Dr Slaa wewe nani angekujua.
 
Ndiyo maana? Tunasema,ninyi mna fahari za dunia sisi tuna Mungu.

Pole sana,sitaacha kumtaja Mungu,kwakuwa na tambua dunia na uhai wangu ni vyake.
Cheers.

Hivi huyo Mungu mnayependa kumtaja kuwa ndiyo mnaanza naye ni yupi.
 
Kuna uwezekano mkubwa sna kwamba MwanaDiwani ni mhusika mkubwa katika mauaji haya ya Arusha. Kauli na vitendo vyake haviashirii utu wala huruma kwa watanzania wanaopoteza maisha kila iitwapo leo chini ya serikali dhaifu ya CCM na Kikwete.
 
Last edited by a moderator:
Josephine,

Kama kweli mnauchungu na wana Arusha rudini basi Tanzania kuungana na wanachadema au mnakula bata kwanza Ujerumani.
 
Last edited by a moderator:
Diwani,

Hakuna niliposema chochote cha kukataa.

Ndiyo maana nimemaliza kwa kusema Mungu anayatazama yote.

Unajya dhamira zenu zimekufa,ndiyo maana kichwa chako na wengine kama wewe wanawaza,kutapanya,kubomoa na kuua.
Mimi leo nimewaombea nyote rehema.

God will stand.vita hivi si vya damu na nyama.
Diwani wala usipate tabu ya kugombana na utu/personality tangu.

Tatizo lako Josephine ni moja. Katika maongezi yako mengi unapenda sana kumuweka Mungu upande wako na wale wote ambao hawafanyi kile unachokiona chema basi wao wanakuwa ni wana wa shetani.

Mwl. Nyerere alikuwa anakiti chake special kanisani ambapo almost kila weekend alikuwa anahudhulia misa takatifu lakini hukuweza kumkuta analitamka jina la Mungu kwenye mikutano ya kisiasa achilia mbali kwenye hotuba zake. Mwl. Nyerere alifahamu kuwa siasa hazina dini.

Jifunze kuwakubali wanadamu na kutambua kuwa siyo kila mtu lazima awe na mawazo na fikra kama zako kwa sababu hata wewe ni kama wao (Binadamu).

Mawazo yako haya pia unataka vile vile yasimame na kwenye uwanja wa siasa za kidemokrasia. Wale ambao siyo wanaCHADEMA katika mawazo yako unawaona hawajitambui kwa maana nyingine ni wajinga. KWELI?.

Kwa mawazo yako haya, neno demokrasia linakuwa ni kaput kwa sababu kama mtu siyo mwanaCHADEMA kwako una muweka kwenye kundi la wasiojua maana ya demokrasia. Is that right?.

Sasa kama kila mwananchi wa Tanzania "atajitambua" na kuwa CHADEMA, kwa hiyo itabidi nchi irudi kwenye chama kimoja kwa sababu kutakuwa hakuna chama tena. IS THAT MAKE SENSE?.

Don't be frustrated, hii ni 2013 tu. inaonekana hukutegemea kama CCM itakuwa na watu kwenye mikutano yao mpaka una waambia makamanda wawachunguze kama ni "wanaArusha". Sikushangai kwa sababu habari za kwenye vijiwe inadaiwa hiyo ni ngome ya CHADEMA.

You still have time to reorganise pamoja na kwamba Kuna uchaguzi wa ndani CHADEMA iko mbioni.
 
Kuna uwezekano mkubwa sna kwamba MwanaDiwani ni mhusika mkubwa katika mauaji haya ya Arusha. Kauli na vitendo vyake haviashirii utu wala huruma kwa watanzania wanaopoteza maisha kila iitwapo leo chini ya serikali dhaifu ya CCM na Kikwete.
Jenga hoja kuanza kutaka kumfahamu mjenga hoja ni dalili ya kukosa hoja na kuanza kutafuta mzizi wa character assassination. Kwani hufahamu kuwa malengo ya msingi kabisa ya JF siyo kumfahamu mleta hoja bali kuifahamu hoja inayoletwa mezani.

Siyo ajabu kuna watu wengi tu ambao wangependa kuja JF na majina yao haswa lakini kwa watu wenye mawazo kama haya unayoanza instigate, wanashindwa kufanya hivyo kwa kuogopa character assassination.

Inaonekana Hoja zangu zinakufanya mpaka unaanza kujenga ukuta wa utetezi wa kichekechea.

By the way, Are you bavicha?.
 
ila na wewe jamaa mbona unatoa harufu mdomoni.huwezi ukawa unawalinda wauaji halafu ukafikiri mungu hawezi kukuadhibu adhabu ipo amini usiamini. Ukweli mbona uko wazi kuwa ccm wanahusika hata mtoto mdogo wa chekechea analijua hili.

Huyu ni mwigulu anatumia mwana diwani na bungeni asikupe shida,Ana akili na hoja za kimatako.
 
CCM safari hii chama mmkikabidhi kwa secretarieti ya majangili na magaidi...na walianza kidogo kidogo...mara wa kambi, mara wanateka watu wadogo wadogo....sasa hivi wanamrushia bomu mwenyekiti wa chama cha upinzani na kushambula wabunge wa upinzani.....hii hali nzito sana japo ninyi machukulia kirahisis....museveni alimnyanyasa besige...lakini hajafika hatua ya kumrushia bomu afe....nchi kama marekani viongozi wa siasa wanalidwa kweli...hapa CCM NALETA MZAHA MNAWARUSHIA MABOMU NA KUTUMA WASOMALI WAWATEKE...HATARI SANA HII
 
Jenga hoja kuanza kutaka kumfahamu mjenga hoja ni dalili ya kukosa hoja na kuanza kutafuta mzizi wa character assassination. Kwani hufahamu kuwa malengo ya msingi kabisa ya JF siyo kumfahamu mleta hoja bali kuifahamu hoja inayoletwa mezani.

Siyo ajabu kuna watu wengi tu ambao wangependa kuja JF na majina yao haswa lakini kwa watu wenye mawazo kama haya unayoanza instigate, wanashindwa kufanya hivyo kwa kuogopa character assassination.

Inaonekana Hoja zangu zinakufanya mpaka unaanza kujenga ukuta wa utetezi wa kichekechea.

By the way, Are you bavicha?.
Unajua ninashangazwa sana na jinsi unavyotumia nguvu nyingi sana kumtetea na kumlinda Mwigulu Nchemba, na ukinukuu kauliza zake za Mungu ibariki Tanzania blabla halafu wenzako wakimtaja Mungu unasema msilitaje jina la Mungu bure. Wewe ni mtu wa namna gani mbinafsi kiasi hiki?

Ukiulizwa hoja za msingi unakimbia kujibu. Kuna maswali mengi sana raia hapa wanakuuliza, kulikuwa na msingi gani wa Polisi kuanza kupiga mabomu ya machozi kwa watu waliolipukiwa na bomu? Unakimbia kujibu. watu wamekuuliza; kumekuwepo na matukio mengi sana ya mauaji nchini, ambayo yanaashiria hali ya hatari, yakiwemo mauaji ya viongozi wa dini, waandishi wa habari, utesaji wa watu wanaopingana na misimamo ya serikali kama Ulimboka na Kibanda, uuaji wa watu kwenye mikutano ya CHADEMA, uchomaji wa makanisa na kulipuliwa kwa bomu kanisani.

Na katika matukio yote haya serikali haijatoa kauli yoyote ya maana kuelezea chanzo chake na hatua ilizochukua, huku ikijua kwamba ndiyo yenye jukumu la kuwalinda raia wa Tanzania. Zaidi ya yote, serikali imeombwa na CHADEMA kuunda tume ya kimahakama kuchunguza chanzo cha haya mauaji lakini inakwepa? Kuna nini kimejificha nyuma ya pazia?

Na kwanini Mwigulu anawatumia majeruhi wa siasa chafu na rafu zinazoendeshwa na CCM kama mtaji wa kura kwenye uchaguzi? Hivi kama Mwigulu ana ushahidi wa kutosha kumsimamisha yule kijana jukwaani kwamba alimwagiwa tindikali na CHADEMA kwanini hajaishauri serikali anayoiongoza kuchukua hatua kali dhidi ya chadema ili kunusuru maisha ya watanzania ambao wanalipa kodi ili wapewe ulinzi wa maisha yao na mali zao? Kama Mwigulu ndiyo aliyetoa hadi kamera ya kumrekodi Lwakatare, kwanini hakuitwa mahakamani kutoa ushahidi wa ushiriki wa CHADEMA katika vitendo vya kigaidi vinavyohatarisha maisha ya watanzania?

Kama kwa hakika mtaendeleza propaganda hizi, basi itawapasa pia mjitokeze hadharani na kukirii kwamba hamna uwezo kiuongozi kwa kuwa mna vyombo vyote vya dola, yet mnashindwa kuwalinda watanzania. Kuna kashfa kadhaa hapa zimetolewa huko Igunga na hata Mbeya kwamba Mwigulu ameanzisha kambi za mafunzo ya kijeshi, ambako watu wanafundishwa hadi kurusha mabomu ya kuua. Kwanini Mwigulu hajayashitaki magazeti yaliyoandika mambo haya kama aliona ameonewa? Kwanini hajasimama hadharani kukanusha?

Ndiyo maana nimekwambia wewe upo blinded na CCM kiasi cha kwamba wanapokufa watanzania ambao ni wanachama wa chadema kwako unaona kama wamekufa mbuzi hivi. wala haikuuumi wala huoni kama wale ni watanzania. Kwako wewe watanzania ni wale waliopo CCM tu. Wanaopigwa risasi kila kunapokucha kwenye mikutano ya CHADEMA hao si watanzania. Hebu jitathimini CCM na mjitambue kwamba hawa mnaowaua ni watanzania pia ambao hata hizo risasi na mabomu mnayotumia kuwaulia wamechangia kuzinunua kwa kodi zao na jasho lao.

Na mfano wa wazi kwamba CCM na Kikwete mnaua watu ni kitendo cha kumpandisha cheo Kamhanda baada ya kuamrisha polisi wamuue Mwangosi. Badala ya kumuwajibisha mmempandisha cheo. Likewise, katika milipuko ya mabomu ya Mbagala na Gongolamboto, ambapo hakuna hata mmoja aliyekuwa -held responsible for it. Hivi kweli nyie mnadhani kwamba ni wa maana sana kuwashinda watanzania wote hawa wanaopoteza maisha? Kama hali hii itaendelea haitashangaza tutakapoingia kwenye vita ya kivyama hapa nchini ambayo itakuwa pia na harufu ya udini. Maana kwa sasa kuna kila dalili kwamba adui wa CHADEMA ndiye huyo huyo adui mkubwa wa ukristo nchini.
 
Back
Top Bottom