Mwigulu Nchemba akana kauli yake

Mwigulu Nchemba akana kauli yake

huyu jamaa kwanini asilipuliwe
kwa kutegewa bomu iliotengenezwa ujerumani tena asikutwe mzoga wake
bali majivu tu .

kama alivyokufa Hitler vileeee!,hata akikufa hana mchango wowote kwenye nchi hii zaidi ya kuleta migongano tu
 
Mwigulu kheee kheee, unauwa watu? tutakupata tu. Dunia hii hii
 
Kwahiyo yule aliyeongea na kurekodiwa hayo ni msukule wake? Ataenda kujieleza vizuri hayo the Hague.
 
Hakika jina Mwigulu halitasahaulika kamwe kama jina la mtu hatari aliyepata kutokea katika siasa za Tanzania..
 
Mwigulu ataishi kwa tabu..sana baadae
 
CCM washukuru kwamba bado watanzania wengi wameinamishwa.Ila ipo siku inakuja watu watazinduka na kudai haki zao tu
 
Bahati mbaya siasa yake ni kugombana na CHADEMA, waTANZANIA tunahitaji siasa zaidi ya hiyo halafu tena rasimu hii ya katiba mpya haijasema siasa ya nchi yetu ni ipi...
 
Hakuna cha unyonge ila hakukuwepo na mapepo ya kukemea. Nimeongea kwa lugha ya mazungumzo sio ya kukemea mapepo ya bungeni
 
Hakuna cha unyonge ila hakukuwepo na mapepo ya kukemea. Nimeongea kwa lugha ya mazungumzo sio ya kukemea mapepo ya bungeni

tabu ya wadudu wa Unga a.k.a watu wa Njia ya vumbi mkishaingia mjini 'MNAPITILIZA',Ndugu kapime akili yako naona Ipo spidi zaidi hata ya 'NEWTON LAW'
 
Mtahangaika sana na mwigulu mwenzenu anajenga chama chake na kutumikia watanzania.

Watanzania wanatambua kuwa Mwigulu anajenga Chama. Lakini kila unapojenga lazima uwe na Matofali, Udongo na Maji. Kinacholalamikiwa ni hizo zana anazotumia ndugu yetu kujengea chama chake. Yaani Hayo Matofali yake, Udogo wake na Maji yake.
 
kweli ukombozi unakaribia, na ya rafiki yake Nape kuwa mkienda kwenye mkutano moro mtakufa na wakafanikiwa kumuuwa Ali Zona! afu wameshatangaza kwenye mkutano makambako kuwa wataua makambako na songea! nayo watakana na video zipo!
 
Kama amekula matapishi yake basi ni binadamu mwenye tabia ya mbwa
 
Akizungumza kwa sauti ya unyonge ...amesema kauli ya kwamba ''msipoichagua ccm mtakufa'' ni ya kutengenezwa

Siku si nyingi atasema jina lake sio Mwigulu Nchemba

Halafu atakataa kabisa mambo ya kuombewa ili atoe siri nzito anayoifika kuhusu uharamia wake wa kuuwa watu, kisa madaraka
 
kama anakana kauli yake mbona alingangania video ya Lwakatare ni genuine na sio ya kuedit?
mwosa huoshwa.
Hii kauli yake ni kama mkuki na utamchoma na kumuua kisiasa.
hana pa kutokea huyu bwana.
atuambie alifuata nini China
atuambie kwanini baada ya bomu kulipuka arusha hakwenda kuwajulia hali wahanga?
atuambie kwanini jana alijikanyaga bungeni kuwahusisha chadema kuwa ndio walipuaji?
Hana pa kutokea.ni gaidi number moja.
 
Back
Top Bottom