Akizungumza kwa sauti ya unyonge ...amesema kauli ya kwamba ''msipoichagua ccm mtakufa'' ni ya kutengenezwa
Mkuu, ungefunguka zaidi amesemea wapi au ungetupa chanzo cha hii habari tafadhari.
Mwingulu Nchemba amekanusha usemi huo wakat akihojiwa na VOA. Source Voa via RFA.
Kwa hiyo na wewe unakubali kuwa hakusema..!! Kweli waacheni wafu wawazike wafu wenzao...Mtahangaika sana na mwigulu mwenzenu anajenga chama chake na kutumikia watanzania.
Hapa jamvini pana video yake
Hapa jamvini pana video yake
Mtahangaika sana na mwigulu mwenzenu anajenga chama chake na kutumikia watanzania.
Mtahangaika sana na mwigulu mwenzenu anajenga chama chake na kutumikia watanzania.