Mpwa ngoja tusubiri tuone vioja vya watu kutaka kujivalisha koti la Unyerere wakati hawana hata sifa moja ya Mwalimu. Huyu gaidi sijui anataka kumdanganya nani kuhusu rekodi yake ya uongo wa hali ya juu na ugaidi dhidi ya Watanzania.
Insanity atits best
Daudi Mchambuzi ambitions zinamuendesha vibaya na watu was namna hii ni hatari kwakuwa wako tayari kufanya lolote alimradi tu malengo na matamanio yake yatimieJitu halina aibu hili
Huyu Mwigulu huo utetezi wa wanyonge anaojivika ameanza mwaka Jana mwishoni tu, hivyo uko strategically, Wala sio tabia yake ya kuzaliwa nayo.
Nyuma ya hapo alikua mpiga vijembe tu, pamoja na kuratibu matukio mbalimbali against viongozi na mikutano ya siasa ya vyama vya upinzani yanayotia Shaka.
Hata ukiangalia anachodai kutetea wanyonge ni kama amekariri tu, yaani kila siku story ni hizo hizo sijui kukimbizana na mama ntilie, wamachinga, e.t.c. na amekua akitaja tu kila mara hizi story lakini utekelezaji hakuna. Angekua ni mtekelezaji kweli tungeshaona mabadiliko.
Kingine analazimisha watu wamkubali kwa kutumia wapambe wake wamuandike kama hapa kwenye huu Uzi. Wanaomkubali ni wachache na ni watu wake, na ndio wanaolazimisha wengine tumkubali
Nimeiona "clip" yake huyo Mungu!Anadai yeye ni Mungu mtu na ameumba mbingu na dunia!Kule Kenya kuna mtu kajitokeza anajiita mungu yehova wa munyonyi, huyu anayejifananisha na Mwl. J. K. Nyerere hana tofauti kabisa na huyo mkenya
Nyerere hakuwahi kukamatwa ugoni,Nyerere hakuwahi kununua vijana kumsifia,Nyerere hakuwa mshamba kujifananisha na kaliotangulia ili kupata sifa,Nyerere alikuwa mwanademokrasia pamoja na watz kukataa vyama vingi lakini akashauri tubadilike,sasa huyu Panyaroad amesahau alivokuwa anamtukana Dr.Slaa kwamba ana mapepo saba,akanunua vijana kulipua mabomu.
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga
CHANZO: NIPASHE
Hakika anastahili. Ni Mtanzania, Msomi, Ana uzoefu na nyadhifa mbalimbali nchini, ni mwanasiasa anayejua demokrasia na anaejua kushughulikia matatizo ya nchi na wananchi, ni Mzalendo.
Hizi sifa zote alikuwa nazo Mwalimu!
Mwigulu ni chaguo la Watanzania tulio wengi