Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,102
Chini ya utawala wake wa ovyo ovyo, nilikuwa naona aibu mgeni akijua kuwa mm ni mtanzania, rais wa ovyo kuwahi kutokea dunian.Gwiji la maendeleo gani kaangusha mapato ya bidhaa za kilimo kama kichaa kwa kuingilia biashara ya korosho?
Kafuga majambazi kina Sabaya na Bashite.
Kajenga uwanja wa ndege kwao ambao haufanyi kazi mpaka watu wanatakankuutumia kuanikaia nafaka sasa.
Wacha mzaha wewe.
Magufuli alikuwa kawashikia akili wajingawajinga kama wewe tu, watu walioweza kuchuja mambo walimuona mshamba tu.