Mwigulu, Kihongosi, Msigwa, na Makonda ni virusi kwa Chama, Samia na Taifa

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,144
Reaction score
56,409
Kazi yetu ni kusema kama tulivyosema kabla ya uchaguzi mkatubeza, yakiharibika mtatafuta watu au makampuni ya kufanya Damage Control.

Baada ya tukio kubwa la 29/10, ambalo halijawahi kutokea nchini, kipindi hiki kilitakiwa kuwa kipindi cha kuliponya taifa, a healing period, kipindi cha kutibu majeraha, ilitakiwa siasa ziwekwe kando kwa muda.

Sio kipindi cha kutambiana kuwa tumeshinda kwa kishindo, wanatakiwa viongozi wenye busara watakao liunganisha taifa sio wanaochonganisha wananchi, viongozi watulivu, waungwana, wasio na ujivuni mfano wa mzee Pinda.

Kosa alilofanya Samia katika kipindi hiki ni kumteua Mwigulu kuwa PM, Kihongosi kuwa msemaji wa chama na kuendelea kumwamini Msigwa kuwa msemaji wa serikali.

Kuwatanguliza watu kama Mwigulu, Kihongosi, Makonda watu wenye makandokando wenye viburi wenye visasi ni kutia chumvi kwenye kidonda kibichi.

Hawa ni vijana bado wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko busara, midomo yao itakuja kumponza Mkiti wao na kuliponza taifa zima, wanapotoa matamshi huwa hawaangalii consequences zake, mf. unaposema 'Mataifa ya nje yanahonga watu kutuchafua', bila kuwa na ushahidi wowote unategemea kupata response gani kutoka kwa mataifa unayoyatuhumu.
 
Ccm huko wazee waliobaki ni wachache sana katika utatuzi wa changamoto za kitaaifa, sio vijana, baadhi ya waazee 0 kabisa
 
Samuya huyuhuyu aliyemuweka mwanae na mkwewe kwenye baraza la mawaziri?
 
Huu ni ulimbukeni.

HBE06fUXoAAVvls.jpeg
 
Kazi yetu ni kusema kama tulivyosema kabla ya uchaguzi mkatubeza, yakiharibika mtatafuta watu au makampuni ya kufanya Damage Control.

Baada ya tukio kubwa la 29/10, ambalo halijawahi kutokea nchini, kipindi hiki kilitakiwa kuwa kipindi cha kuliponya taifa, a healing period, kipindi cha kutibu majeraha, ilitakiwa siasa ziwekwe kando kwa muda.

Sio kipindi cha kutambiana kuwa tumeshinda kwa kishindo, wanatakiwa viongozi wenye busara watakao liunganisha taifa sio wanaochonganisha wananchi, viongozi watulivu, waungwana, wasio na ujivuni mfano wa mzee Pinda.

Kosa alilofanya Samia katika kipindi hiki ni kumteua Mwigulu kuwa PM, Kihongosi kuwa msemaji wa chama na kuendelea kumwamini Msigwa kuwa msemaji wa serikali.

Kuwatanguliza watu kama Mwigulu, Kihongosi, Makonda watu wenye makandokando wenye viburi wenye visasi ni kutia chumvi kwenye kidonda kibichi.

Hawa ni vijana bado wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko busara, midomo yao itakuja kumponza Mkiti wao na kuliponza taifa zima, wanapotoa matamshi huwa hawaangalii consequences zake, mf. unaposema 'Mataifa ya nje yanahonga watu kutuchafua', bila kuwa na ushahidi wowote unategemea kupata response gani kutoka kwa mataifa unayoyatuhumu.
Ila ulipotaja Pinda ati afadhali?!
Contra statements:
Wapigwe tu
Wabunge walipwe zaidi kwa sababu kuna watu wengi wanasaidiwa kwa hizo pesa

Mara alie

Hapana hafai
 
Back
Top Bottom