Tunatawaliwa na watu who were not born to leadMamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
We kwenda huko ku.ma ww kuna mtu alikuwa wa hovyo kama huyo shujaa wako aliyekuwa anakopa mapesa anadanganya fedha za ndani na ndiye chanzo cha haya maujinga ujinga ya sasa kaacha deni kubwa sn mpk kukopesheka ni shidaNajua mtanikumbuka sio kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimeji sacrifaiz kwa ajili ya Watanzania ~ Alisikika shujaa mmoja
Yule alikuwa mwizi tu hakuna alichofanya ndiye kasababisha haya yote hayaNa tuendako tutamkumbuka tu aisee maana dah this is too much. Shida viongoz hujiamulia bila kushirikisha wananchi ili ka ni kula Ile pande zote na sio pande ya Raia tu
Yule alikuwa mwizi ? Yupi? Unaemzungumzia sasa hayupo wewe kima!.lipa kodi,mama si ana upiga mwingi!Yule alikuwa mwizi tu hakuna alichofanya ndiye kasababisha haya yote haya
Kwa Sasa hyo maana ya bunge kuwa chombo Cha uwakilishi kwa mwanainchi haipo,me naona Ni vikao vya kujadili bajeti, Sera,sheria na kugawanya posho...sidhani kama wabunge wa bunge la Leo wakayapata machungu tunayoyapata sisi wananchi wa kawaidaEbu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako
Yani tutakomaYule alikuwa mwizi tu hakuna alichofanya ndiye kasababisha haya yote haya
Mama anafungua nchiMitano tena....!
#KaziIendelee
wee unazani huyo mwigulu asipokusanya kodi nyingi maisha ya gharama anayoishi atayapata wapi?, atakula nini?Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku...
Mbwa Koko wewe, hizo Kodi Ni kwa ajiri ya CHADEMA?Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Huwezi kua unakula nyama ya punda ukawa na akiliMamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu...
Chizi karogwa tenaChadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Mwendakuzimu aliua, Suluhu anazika...yupi bora? CCM kwa utaahira, hawakamatiki!Najua mtanikumbuka sio kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimeji sacrifaiz kwa ajili ya Watanzania ~ Alisikika shujaa mmoja
Alipewa wazo la tozo ya uzalendo wa maskini kwa Simba akalimeza mzima mzima lilivyo bila uchambuzi.Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili