Mwigulu hili hapana

Mwigulu ametoa kauli kama vile unavomdanganya Mtoto mdogo na pipi ili aridhike. Si useme kwamba ishu zingine zipo juu ya uwezo wako na huna mamlaka nayo?
 
Hivi bado kidogo tu tutambiwa ni mtu asiyejulikana mbona rais amesema habari zake ndiyo zimeandikwa kuliko habari zilizoandakiwa za kwemda bamdarini chezea komedi wewe
 
Mchochezi katika ubora wako. Mitishamba hailipi awamu hii!? Umetoka kwenye Uganga mpaka uhaini. Ama kweli uchawi ni tenda.
 
Alichokiongea Mwigulu ni sawa tu ili kuonesha na yeye yupo pamoja na Nape angekaa kimya na kumtafuta taratibu sisi tusingejua km Mwigulu mwenzetu ktk haya mapambano ya kuzuia uonevu
 
Mwigulu naye amefufukia wapi tena!!!!!!.....
Tuache unafki wa wazi,huyu jamaa mambo mangapi yanatendeka na bado hata hakufungua mdomo wake...
Bora aendelee kukaa kimya kama mbwa wa kuchora,asieuma wala kubweka
 
Mchochezi katika ubora wako. Mitishamba hailipi awamu hii!? Umetoka kwenye Uganga mpaka uhaini. Ama kweli uchawi ni tenda.
Hivi uhuru ni nini?. Nani anastahili kuwa huru?. Naomba uniambie huyo Mshana jr amevunja sheria ipi endapo kama kweli yy ni mganga. Akikaa na mizizi pori kwake kosa ni lipi mbona wewe kwako unakaa na midawa ya hospitali mezani huulizwi?.
Uchawi unaujua kweli wewe, yaani wewe ndiye mchawi na mdomo wako. Unachotoa mdomoni kwako ndiyo uchawi, uchawi huenda na manuizi.
Elimu ndogo ndiyo inayofanya uwe hivyo maana hata hicho unachoona unakijua mm nakuona uko mweupe peee. Uhuru wa kujifunza huna.
 
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Wale askar waliokua eneo lile walichukua hatua gani Raia kutoa bastola kwenye umati??
Kweli maagizo akaweka na pingu mfuko wa nyuma.
 
Jina lako limenipa sababu ya kukudharau. Laanaa turkadiriiii.
 
Kwa utawala huu, ukiwa waziri lazima uchague lipi la kusema na jinsi ya kulisema. Ukiamua kufanya kama Nape utaishia "kupangiwa kazi nyingine"!!!
Walau kupangiwa kazi nyingine.... Nape hakupewa hiyo nafasi aliletwa tu mtu kwenye nafasi yake na yeye hakuambiwa chochote.. Yani as if ile nafasi haikuwa na mtu

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu kinajulikana mbona... Sema wanaogopa kutumbuliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…