Mwigulu hapenyi 2030 — Kuna nini kinawatisha?

View attachment 3669191
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.

Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:

Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki?

Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.

Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.

Ndiyo maana, kwa mujibu wa madai hayo, kuna wanaoamini kwamba Mwigulu anatakiwa kudhibitiwa kisiasa, kupuuzwa au “kupotezwa kwenye siasa mapema” kabla hajawa na nguvu zaidi.

Na hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.

Kama kweli kuna watu wanaona Mwigulu kama tishio la kisiasa kwa sababu ya msimamo wake, basi swali si tena:

“Mwigulu atafika 2030?”

Bali:

“NI NANI ANAOGOPA MWIGULU KUFIKA 2030 — NA KWA NINI?”

Moto umewaka.
Tupe link ya video tuwasikilize hao wakina Mange!
 
Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.
Rubbish...huyu mbwa mwizi mkubwa na mtu aliyeshabikia mauaji ya Watanganyika....

Halafu hii ni mara ya pili unaleta this rubbish ....
 
View attachment 3669191
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.

Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:

Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki?

Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.

Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.

Ndiyo maana, kwa mujibu wa madai hayo, kuna wanaoamini kwamba Mwigulu anatakiwa kudhibitiwa kisiasa, kupuuzwa au “kupotezwa kwenye siasa mapema” kabla hajawa na nguvu zaidi.

Na hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.

Kama kweli kuna watu wanaona Mwigulu kama tishio la kisiasa kwa sababu ya msimamo wake, basi swali si tena:

“Mwigulu atafika 2030?”

Bali:

“NI NANI ANAOGOPA MWIGULU KUFIKA 2030 — NA KWA NINI?”

Moto umewaka.
Mwigulu usimfananishe na Magufuli hawezi kufika huko. Magufuli hakusubiri nafasi ya juu kupambana. Alipambana na wakandarasi wa hovyo na mafisadi ya TANROAD mapema kabla hata hajawa na cheo cha juu. Mwigulu huo uwezo hana, angekuwa nao cheo cha Waziri Mkuu ni kikubwa sana kwenye mapambano dhidi ya ufisadi. Hicho cheo ndo kiliwafanya akina Sokoine Kawawa na sailm Ahmed salim wasikike enzi zao. Miaka 10 au 20 ya Tanzania kupoteza mwelekeo kutokana na rais au marais wasio na uwezo ni mingi sana kuja kuicover kwenye maendeleo.
 
View attachment 3669191
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.

Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:

Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki?

Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.

Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.

Ndiyo maana, kwa mujibu wa madai hayo, kuna wanaoamini kwamba Mwigulu anatakiwa kudhibitiwa kisiasa, kupuuzwa au “kupotezwa kwenye siasa mapema” kabla hajawa na nguvu zaidi.

Na hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.

Kama kweli kuna watu wanaona Mwigulu kama tishio la kisiasa kwa sababu ya msimamo wake, basi swali si tena:

“Mwigulu atafika 2030?”

Bali:

“NI NANI ANAOGOPA MWIGULU KUFIKA 2030 — NA KWA NINI?”

Moto umewaka.
Je, wewe uliyeanzisha thread hii ni yule Mwingulu aliyeandika mawe nchi nzima kuwa ni rais au ni chawa wake wameanza kujibu mapigo? Hakika hata sauti yako na ma-skafu ya bendera uliyovaa yanatia wasiwasi. Anyways, tangu lini Mwingulu akawa mwiba wa ufisadi wakati yeye ndiye kinara? Na zaidi... vita vya Mwingulu ni vita vya ma-fisi ndani ya CCM na siyo kama anaogopeka na kina Mange.
 
Kwa trend yake ya kusikiliza watu na kukemea ufisadi hadharani tutamuunga mkono hata kama sisi hatuipendi ccm hii ya sasa. Mwigulu anatufaa kwasababu hizo mbili tu.
Naona mnapulizia kinyesi perfume. Yaani hapa chawa wa Mwigulu ndio mnaona mnacheza bonge la mindgame.
View attachment 3669191
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.

Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:

Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki?

Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.

Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.

Ndiyo maana, kwa mujibu wa madai hayo, kuna wanaoamini kwamba Mwigulu anatakiwa kudhibitiwa kisiasa, kupuuzwa au “kupotezwa kwenye siasa mapema” kabla hajawa na nguvu zaidi.

Na hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.

Kama kweli kuna watu wanaona Mwigulu kama tishio la kisiasa kwa sababu ya msimamo wake, basi swali si tena:

“Mwigulu atafika 2030?”

Bali:

“NI NANI ANAOGOPA MWIGULU KUFIKA 2030 — NA KWA NINI?”

Moto umewaka.
 
..Mwigulu anatabia ya kusema uongo tena wa wazi kabisa.

..Na wakati mwingine anasema uongo hata mahali ambapo hapahitajiki kusema uongo.

..Na akishasema uongo analazimisha vyombo na serikali nzima wabebe uongo wake.

..mwanasiasa mwenye tabia za namna hiyo hafai kupewa uongozi.
 
Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.
Mwigulu atakuwa Rais wa nchi hii 2030 pin my comment, kawashika sana raia uko ground, yeye ni kama Gachagua anasikiliza ground sio kelele za online
Kwa trend yake ya kusikiliza watu na kukemea ufisadi hadharani tutamuunga mkono hata kama sisi hatuipendi ccm hii ya sasa. Mwigulu anatufaa kwasababu hizo mbili tu.
Hizi I'd mpya humu zinazompigia debe kwa uongo mwingi ukute ni zake mwenyewe, kaanza mapema zile harakati zake za kuandika kwenye mawe.

Mwigulu mwenyewe ni fisadi, mtekaji na muungaji mkono wa mauaji ya maelfu ya Watanganyika MO29. HAFAI kabisaa 🚮
 
kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.
Sisiemu wote WEZI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom