Mwigulu hapenyi 2030 — Kuna nini kinawatisha?

Mwigulu hapenyi 2030 — Kuna nini kinawatisha?

Hv we mwanamme mzima na pumbu zako hao malaya wakiokimbia nchi wanaweza kutuamulia hatma ya nchi yetu? Mangi Kimavi siyo mtanzania tena ni Mmarekani anachotafuta ni kuiangamiza hii nchi. Huyo Maria yuko ukimbizini Kenya, ni aibu wanaume rijali kujadili hao makahaba
Wanaume sahihi ni wale waliompigia magoti samia juzi
 
Uko sahihi. Ila Bashiru amekuja kubadilika mno mno na kuwa mbaya kuliko fisi.
Lazima angebadilika unajua kitanzi alichofungiwa Hadi akubali matakwa ya boss!!?

Wakati ule yeye alikua KMK na ile transition ya magifulism to samiahism yeye ndio aliisimamia,japo walitaka kupindisha mambo,

Ndio maana E. Kuandikwa akaenda kwa baba!

Nawaza TU na kuwazua!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom