JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha
chizi yule. anadhani anaweza kuwapandia watu vichwani kirejareja.Kati yaa mambo ambayo Mwigulu anakosea ni kulazimisha watu waipende ccm
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !
Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba

Ngoja nikusahihishe kidogo....inavyoonekana shetani ni rafiki yake mkubwa.Ana maadui wawili tu , Dr Slaa na Shetani ! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Poor Mwigulu ! Muda wa kikwete ukiisha utajibeba .
mtani una maakiri mengi sana ! Yaeleka mamarhobi anakupa uji wa moto kira asubuhi tata!chadema inakwenda kumng'oa mwigulu madarakani mwaka 2015 kwahiyo lazima apige mateke katika harakati za mwisho za kukata roho!
Kama kuna mtu wa iramba alihudhuria kikao hicho akitarajia kwamba kutazungumzwa mambo ya maendeleo basi anatakiwa kujipima tena kama anaifahamu agenda ya mkoloni mweusi ccm dhidi ya nchi hii.
Wasio na viongozi wa juu kwenye chama hiki tawala walie tu.Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !
Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba
Mwigulu bila kutamka CDM angalau mara tatu kwa siku kama panadol 2x3x7 anakuwa mgonjwa mahututi
Si mlileta usi kuwa watu hawakuudhuri? Alihutubia viti?