Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na uharibifu huo wa mali za wananchi
Vituo vya Polisi- 159
Ofisi za serikali-756
Vituo vya Mwendokasi-27
Vituo vya DAWASCO
Mabasi-6
Nyumba binafsi -273
Vituo vya Mafuta-672
Magari ya watu binafsi- 1642
Pikipiki binafsi- 2,268
Magari ya seriakli-979
Vituo vya Polisi- 159
Ofisi za serikali-756
Vituo vya Mwendokasi-27
Vituo vya DAWASCO
Mabasi-6
Nyumba binafsi -273
Vituo vya Mafuta-672
Magari ya watu binafsi- 1642
Pikipiki binafsi- 2,268
Magari ya seriakli-979