Mwigulu ashutumiwa kwa kuleta mkanganyiko Arumeru - Apendekeza Jina la 1 hadi 4 yakatwe

Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.

Tena usitake kunichefua wewe.. si wewe ulifumaniwa ukiwa na dada yangu Igunga? Yaani umetuaibisha sana ukoo wetu wewe, na yule dada tumemtenga!
 
Funga zipu yako maradhi haya yapo,funga zipu yako,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...

aaa docta akili yako kubwa bado sijakuelewa wewe ni docta pia nilikusikia ukisema ulikuwa unafanya biashara ya korosho huko kusini,eee sasa tena mbunge sasa tukuweke wapi mbona hueleweki yaani wewe ni zaidi ya kinyonga ,bungeni hoja zako hazieleweki umeegemea wapi mara kibao hoja zako wamezipiga chini sio maspika wala wenye viti yaani hueleweki ukipewa bunduki wakati wowote unaweza uwa adui au team mate

Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...
Ofcourse! Siasa za rushwa, kupanga matokeo, fitina za ki mafia, vitisho, kuchoma vibanda, majeshi ya kigaidi, tindikali, mauaji na ufedhuli wa namna hiyo, huyo ni jembe kweli. Hizi ndizo Dr. anaziita siasa za kisasa!!!!! Jina utajipa mwenyewe. Hivi ni kweli katika karne hii ya 20 tunahitaji siasa mufilisi kiasi hicho? Siasa za kumwaga damu, kweli Dr.? Mmeshindwa kujenga hoja mkakubalika zaidi ya kumwaga fedha, kununua shahada, pilau n.k? Uko wapi sasa huo ujasiri wa kauli mbiu yenu ya kupingana bila kupigana? You are so smart unapoongelea hoja za maendeleo, I thought you are among braves. Lakini linapokuja suala la uchaguzi, u miongoni mwa wapotofu.
 
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.

Mkuu Mwigulu imekuwa vizuri umeweka wazi suala la umeneja wa kampeni na kuondoa utata, Ila kuna watu bado wanaongelea tuhuma za 'infidelity' kule Igunga nazo unaweza kuwaambia ukweli ili tuachane na distractions na kuelekezaa nguvu kwenye mijadala ya kujenga Taifa na kuongelea mambo ya msingi na ya maana kwa ustawi wetu na chama chetu?
 
mwigulu ni malaya wa kiume!!

Mkuu this is too low and personal. Tunawahitaji sana watu kama kina Mwigulu hapa jamvini, ila tunapoleta personal attacks and insults tunakuwa hatuwatendei haki na kuwakimbiza. Tuache personal attacks kwa sababu tu watu wanajitokeza kwa majina yao halisi.
 
Mhe Mwigulu Mchembe,

Habari za Arumeru. Nashukru kwa kujitokeza kwenye ukumbi wa GT. Mimi nina maswali tuwili kama 6 hivi na ninaomba unijibu:
  1. Kule Igunga ni kweli ulifumaniwa na mke wa mtu?
  2. Kama ni kweli kwanini uliacha kazi ya kupiga kampeni za chama chako CCM ukaanza ufuska?
  3. Igunga CCM mliongoza kwa kampeni za kibabe ikiwemo kutumia silaha k.m.bastola.Je Arumeru nako mtatumia silaha ili kuwatisha wanachama na wananchi wengine wasijitokeze kupiga kura?
  4. Igunga kulitokea mauaji ya wakala wa CDM. Je,safari hii mna mikakati gani na mawakala wa CDM?
  5. Kwanini CCM mnatumia wizi wa kura,kununua shahada na rushwa ili kushinda kila uchaguzi?
  6. Je,wewe huoni kuwa CCM kwa sasa mmepoteza mvuto kwa Watanzania na hivyo mnatakiwa muwapishe wapinzani makini
Wasalaam.
Kuna wapambe wake siku hizi imekuwa kama ada watasema nyie CDM mmeanza matusi wakati umeuliza maswali ya kawaida tu.
 
Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake
Nimeipenda hii ya kujiweka wazi ni laivu bila chenga,nami baada ya mwezi nitajilipua kwa kujiweka wazi
 
Kikao cha CC kinachoendelea kinasemekana kitakuwa kugumu kutokana na taarifa ya mwigulu nchemba aliyoiwasilisha kwa CC kuleta mkanganyiko.
Taarifa hiyo inapendekeza kuwa ili kuondoa makundi yanayoonekana kushamiri sasa majina ya wagombea namba MOJA hadi NNE yakatwe na majina ya namba TANO na SITA yafanyiwe maamuzi ya mmoja wao kupitishwa. Mkanganyiko katika jambo hili unakujwa pale ambapp mgombea namba TANO Antony Musani ameshajitoa CCM na kwenda CHADEMA ambako nako amechukua fomu ya kugombea ubunge. Mgombea namba SITA URIO aliyepata kura 11 yeye alishachoka katika hatua za awali na kuwa alishatangaza kujitoa kwenye mchakato.
Habari zinasema UVCCM arusha wamekasirishwa na taarifa hiyo ambayo wameilalamikia inajadiliwa kwa sababu zipi wakati ujio wake na ziara yake arumeru haukuwa wa kutumwa na CC ili kutoa mapendekezo.

Mmeanza propaganda zenu kwa mwigulu kama igunga ???badilisheni mbinu kule hii si mnakumbuka haikufanya kazi mliyoitarajia,mtashindwa tena kama mnatumia mbinu zilezile.
 
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.[/QUOTE
KAKA ARUMERU KULE HAKUNA VYA KUBEBWA NA POLISI AU NINI,NA KAENDELEZE UMALAYA WAKO WA KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU UONE WATAKACHO KUFANYA TATIZO LENU CCM MNABEBWA SANA NA NEC PLUS TENDWA SASA WAZEE WENYE BUSARA WASHA MKANA HUYO TENDWA
 
Kaka arumeru hakuna kubebwa na polisi au nini na ukiendeleza umalaya wako wa kutembea na wake za watu utaona wa meru watakavyo kufanya ktk chaguzi nyingi ccm mnatumia hila sana kauli ya makamba ni mfano tu wa jinsi ccm mlivyo
 
Ahaha muigulu kazi mnayo huku arumeru mpaka mmejileta wenyewe jf du kweli kigumu chama cha mapinduzi
 
Ccm kazi mnayo tena huyo ni mkwe wa lowasa nahisi benki kuu ita hamia arumeru
 
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...
Ana ujembe gani Kigwangala huyu Mwigulu labda kuiba wake za watu na kuvuruga tu kampeni za vyama vya upinzani na kuteka wafuasi wa wapinzani,propaganda na kutisha wapiga kura kwanza huko nasikia amefungua kambi ya green guard kama Igunga halafu mwambieni huku ni ARUSHA sio Igunga tabia zake aziache safari hii za kutuma vijana kuteka watu wa upinzani ataisha huku.
 
Kwanza nakutafuta sana mwigulu,juzi ulipita tengeru na siasa zako uchwara ukatutukania chalii etu Lema,tulikuwa tunakucheki tu,ngoja utakuja tu huku,
 
Mkuu this is too low and personal. Tunawahitaji sana watu kama kina Mwigulu hapa jamvini, ila tunapoleta personal attacks and insults tunakuwa hatuwatendei haki na kuwakimbiza. Tuache personal attacks kwa sababu tu watu wanajitokeza kwa majina yao halisi.
Sasa mkuu hutaki mtu aambiwe ukweli eti atakimbia jamvini yeye simsafi hakufanya siasa za fitina Igunga sasa kwa nini akimbie jamvini acha watu wa mwambie ukweli huyu bwana tunataka si akimbie tu jamvini akimbie pia Arumeru,hapo juu Dr Kigwangala anamwita jembe,jembe gani la kampeni za vitisho kwa wapiga kura nakuteka watu yeye anajua sisi hatujui mwisho wake huku Arumeru mkuu.
 
Hiii.... Look this unknown MP, shut up wee.... umapatikana kwa giza giza unaongea nini? Ww ni MP wa wapi?

Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...
 
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...

Usilete cheap politics tena za vijiweni,kuna watu wanamuogopa mwigilu wa kina nani hao?labda kwenye chama chenu hovyo hovyo,mwalimu alishawahi kusema chama hovyo hovyo kinaendeshwa na watu hovyo hovyo,wewe ni mtu usie na msimamo kabisa,awali watu walikuona ni moja ya wabunge wachache wanaosimamia haki na maslahi ya wananchi ndani ya c.c.m lakini tokea sakata la madr na upigwe mkwara ndani ya chama,umeonekana ni mtu muoga na usiye na msimamo!kifupi umepoteza sana mvuto kwa wananchi si wa nzega tu bali sehemu zote za nchi,tumia miaka yako 2.5 iliyobaki vizuri,maana nakuhakikishia hautarudi mjengoni tena!hata ukiomba kupitia upinzani hautapata,maana umeonekana ni mtu usiye tabirika!!watu makini wameb
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom