Liwe somo watu wenye mambo ya utoto-utoto wa Simba na Yanga jamaa wawe makini sana na nafasi wanazowapa.
Mwigulu mpaka leo aelewi uzito wa nafasi yake nchi zingine waziri wa uchumi, mambo ya ndani na mambo ya nje ni watu wakubwa sana na ndio mawaziri pekee wenye police escort nchi nyingi duniani.
Mtu mwenye kuelewa ugumu wa majukumu yake na sera anazotunga zina impact kubwa kwenye maisha ya millions of people positively or negatively kutokana na maamuzi yake awezi kuwa na muda na upumbavu wa mambo ya mpira.
Huyu mtu anatakiwa atolewe ata hiyo wizara ya fedha. Aelewi gravity ya nafasi yake.
Waanze kuwaangalia wengine kama hakina Mtaka, Jaffo, Biteko na wengineo. Hila Mwigulu na wengine ni Makamba na Kigwangalla hao watu hawafai kupewa majukumu makubwa ni watu ovyo mno.