Kwakweli watu wanamlaumu ila uhalisia ni kuwa kama Waziri wa fedha ambàye anatakiwa ahakikishe bajeti ya trilioni 41 inatimia hana budi kwenda na uhalisia wa hali ya uchumi, fikiria ongezeko la bei ya petroli anatakiwa atoe kila mwezi B100, hapo hapo kuna nyongeza ya mishahara japo inaonekana kidogo but cumulatively kwa mwaka ni ongezeko kubwa, revenue bado haijakaa sawa, kuna miradi ya kimkakati JNHPP,SGR. mabarabara,madaraja ,maji afya etc,bado kuna loan repayments kwenye mikopo iliyomature na ya kibiashara,,which takes a huge percentage of our budget, bado atafute hela ya kuendesha serikali OC na maendeleo,yaani demands kila kona! kwa kweli tutamchukia ilankiuhalisia inabidi tumpe moyo na kumsupport ,mzigo alionao ni mkubwa, kila mtu nchi hiii anaangalia chungu chake ambacho anahakikisha kina bakaa.
Mungu amsaidie na kazi iendelee!