Mwigulu anafaa kuwa Rais ajaye

Mwigulu anafaa kuwa Rais ajaye

Mimi namdisqualify kwenye hulka ya majivuno na ubabe kama Jiwe ila kwingine ni anafaa Vizuri tuu..

Mwingine anaefaa ni Makamba JR sijaona potential aspirants tofauti na hao Hadi mda huu labda akina Gambo ingawa bado Wachanga.
Kwa sababu unawaza ndani ya Boksi la kijani lazima utaona hao tu.

Kosa lako ni kuwaza ndani ya Boksi huku ukiwa umebinafsisha akili zako kwa kubadilishana na uniform ya kijani.
IMG-20220723-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom