Mwigulu anafaa kuwa Rais ajaye

Mwigulu anafaa kuwa Rais ajaye

Liwe somo watu wenye mambo ya utoto-utoto wa Simba na Yanga jamaa wawe makini sana na nafasi wanazowapa.

Mwigulu mpaka leo aelewi uzito wa nafasi yake nchi zingine waziri wa uchumi, mambo ya ndani na mambo ya nje ni watu wakubwa sana na ndio mawaziri pekee wenye police escort nchi nyingi duniani.

Mtu mwenye kuelewa ugumu wa majukumu yake na sera anazotunga zina impact kubwa kwenye maisha ya millions of people positively or negatively kutokana na maamuzi yake awezi kuwa na muda na upumbavu wa mambo ya mpira.

Huyu mtu anatakiwa atolewe ata hiyo wizara ya fedha. Aelewi gravity ya nafasi yake.

Waanze kuwaangalia wengine kama hakina Mtaka, Jaffo, Biteko na wengineo. Hila Mwigulu na wengine ni Makamba na Kigwangalla hao watu hawafai kupewa majukumu makubwa ni watu ovyo mno.

Wivu huo ukitoa Mwigulu, Philip Mpango na Kassim Majaliwa hakuna presidential Material Mwingine CCM

Sina shaka na Uwezo wa Mwigulu kwenye uongozi wasi wasi wangu ni kule anakoabudu kwa Role model wake Nabii Sanga kama Nchi na Taifa sio sawa kua na Raisi anaeabudu Manabii wa Mtaani . Waziri mkubwa kama Mwigulu sio wa kusali Makongo Vichocholoni kwa Nabii Sanga

Nchi itaendeshwa kwa maono ya Nabii na walokole wengine wenye imani kali adi wanachizika
 
Pole mkuu
Pole ya nini ebu muweke on sport Mwigulu siku moja mwambie akupe data za biashara zilizofungwa au kufunguliwa kutoka Brella.

Hiyo kazi waziri anatakiwa awe na data zote za wizara zinazojihusisha na uzalishaji i.e kilimo, uvuvi, biashara na uchukuzi upande wa bandari.

Anatakiwa awe na data za uchumi in general mikopo ya biashara inayochukuliwa, inaenda sector gani, wapi kunahitaji sera za ku encourage uwekezaji, approach ipi itumike to name a few.

Wizara ya fedha ni kazi ngumu; halafu tuna waziri jinga jinga lina muda wa kupoteza na ushabiki wa kishamba wa mpira uliopitiliza wakati maamuzi yake yanaathiri karibu watu millioni 60.

Walitoe hilo bozzo kwenye hiyo wizara he is not serious. Kibongo bongo poa nchi zingine waziri wa fedha ni mtu mkubwa sana na maamuzi yake yana impact kubwa kwa serikali nzima inavyotafsiriwa na wananchi.

Watu wanakuwa miaka tu lakini akili zao utoto mtupu halafu mnawapa majukumu makubwa.

ciao
 
Wivu huo ukitoa Mwigulu, Philip Mpango na Kassim Majaliwa hakuna presidential Material Mwingine CCM

Sina shaka na Uwezo wa Mwigulu kwenye uongozi wasi wasi wangu ni kule anakoabudu kwa Role model wake Nabii Sanga kama Nchi na Taifa sio sawa kua na Raisi anaeabudu Manabii wa Mtaani . Waziri mkubwa kama Mwigulu sio wa kusali Makongo Vichocholoni kwa Nabii Sanga
Ebu kesho muulize data za mwezi wa sita kiasi gani bank zote zimetoa kama mikopo ya biashara kama anajua.

Kukuelezea umuhimu wa hizo data kwenye kupanga sera ni hadithi nyingine ndefu huo muda sina as for me time to go running on the treadmill na kupasha mwili sio kumjadili mtu wa ovyo kama Mwigulu.

Eti Mwigulu for president you people are not serious.

👋
 
Uwezo wake kwenye uwaziri wa fedha umeishia kumdhurumu raia kupitia tozo baada ya tozo. Hataki kuhangaika na Vyanzo vinavyo hitaji ubunifu na jasho kupata mapato. Mfano , mapato makubwa yapo kwenye ardhi iliyopimwa isiyo lipiwa kodi na ile ambayo haijapimwa na ingeiingizia serikali mapato makubwa, kodi inayokwepwa na wabunge, kodi kwenye nyumba za kupangisha, michango ya harusi, huko kwenye vilevi visivyo na maana kama sigara, malipo holela kwenye tasis binafsi huku kuna ulipaji ule wa mishahara bila kukata payee nk, ikiwezekana hata hizo perdm zikatwe kodi . Anaacha yote hayo mwigulu anumiza wananchi namitozo
 
Licha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana JPM aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri

labda akawe Rais wa mama yako
 
Kodi ndio njia peke yake ya kuingizia Nchi Mapato ? Nchi za wenzetu VAT ni 5% only na miundo mbinu inakimbia kwa speed Ya Hatari , Mwigulu sio waziri peke yake wakuleta vyanzo vya mapato , angesaidiwa na Mawaziri wengine kubuni Vitega uchumi vya Nchi. Taifa lingesonga
 
Licha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana JPM aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri
Anachojua ni kuongeza sifuri
 
Naona mtoa mada unantaftia ban kwa kasi ya
hypersonic missiles. Huyo Lameki hafai kuwa hata mweka hazina kwenye kikao cha harusi ndio aje kuwa Raisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila wee bhana.
 
Licha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana JPM aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri
[/Q

Mtoa mada nimiongoni mwa vijana wa hovyo
 
Back
Top Bottom