sio kila mwarabu ni muislamu
una akili sana wewe.
sio kila mwarabu ni muislamu
In my opinion he is far beyond insanity.mkiambiwa Mwigulu ana laana na anahusika na mauaji kutokana na akili yake kutokua sawa mnashangaa.... they guy is insane
dawa yake inatokota,jimbo atalisikia na atakuwa mbunge wa term moja tu na hatarudi tena mjengoni,asante yake ya epa itaishia 2015 june.
natmai hapa anawatukana wapiga kura wake kuwa walimchagua tahahira, na cdm no need kurevenge wapiga kura ndo watamtia adabu
mkiambiwa Mwigulu ana laana na anahusika na mauaji kutokana na akili yake kutokua sawa mnashangaa.... they guy is insane
Nimefurahi kuona Mbwa katulia hii inamaanisha mbwa kuwa na akili kuliko mgulu
Paw Fang Invisible, ukunga nawagutiamwigulu sambaratisha wauaji hao,chanachana kabisa.we ndo kitila mkumbo nini?mwigulu lazima awakomeshe.na huo ni mwanzo tu.
hata wewe pia una uwezo finyu kabisa wa kufikiri halafu sio raia wa tanzania,utakuwa mfyomi wewe.ngoja tikufuatilie.mwigulu ana kosa gani.nyie mliouwa pale ndago mna tofauti gani na huyo mnyama alovaa hyo nguo yenu.
ataacha kutulia vipi wakati amevaa bendera ya ndugu zake.
na chadema tutaruhusiwa kufanya ujinga huo mimi nitaanza na picha za kumchafua kikwete..