Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 39,985
- 51,096
RC die hard.Kama imekuuma kufa
Sitakufa na nitahakikisha unapunguza kama si kuacha kabisa hiyo tabia ya kuona Roman Catholic Church ndio kila kitu kwenye maisha ya watu.
RC die hard.Kama imekuuma kufa
We ulikuwepo wakati anaahidiwa? Kwl siku hizi huwezi jua yupi mwanamke na nani mwanaume halisi. Ndiyo maana ni mashogaHuyu aliahidiwa atarithishwa kiti ili kulinda uovu wa october lakini sasahivi Yezebeli ameona ampe ahadi hiyo makamu wake endapo atafanikiwa kuteka hisia za watu.
Watanzania msikubali kuchezewa akili, hawa wote wanastahili kupelekwa mahali alipopelekwa Polepole. Haiwezekani mfanye mauaji halafu turidhiane, kamwe hatuta ridhiana na MAGAIDI.
Hakika chadema ni laana kwa nchi hii. Hebu fikiria mpuuzi moja km huyu anazusha upuuzi na mazuzu sijui bila kuelewa au makusudi wanachangia uchafu km huu. Ndiyo chama mbadala wa CCM! Aibu naona mimi!Huyu aliahidiwa atarithishwa kiti ili kulinda uovu wa october lakini sasahivi Yezebeli ameona ampe ahadi hiyo makamu wake endapo atafanikiwa kuteka hisia za watu.
Watanzania msikubali kuchezewa akili, hawa wote wanastahili kupelekwa mahali alipopelekwa Polepole. Haiwezekani mfanye mauaji halafu turidhiane, kamwe hatuta ridhiana na MAGAIDI.
SawaIla umeandika uongo
Crap!Huyu aliahidiwa atarithishwa kiti ili kulinda uovu wa october lakini sasahivi Yezebeli ameona ampe ahadi hiyo makamu wake endapo atafanikiwa kuteka hisia za watu.
Watanzania msikubali kuchezewa akili, hawa wote wanastahili kupelekwa mahali alipopelekwa Polepole. Haiwezekani mfanye mauaji halafu turidhiane, kamwe hatuta ridhiana na MAGAIDI.
CCM ni genge la kigaidi linalitumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawa. Bila mbeleko ya polisi CCM ni wepesi kama unyoya.Hakika chadema ni laana kwa nchi hii. Hebu fikiria mpuuzi moja km huyu anazusha upuuzi na mazuzu sijui bila kuelewa au makusudi wanachangia uchafu km huu. Ndiyo chama mbadala wa CCM! Aibu naona mimi!
Mikutano yake haina vibe. Analazimisha tu, hana kibali kwa Mungu na kwa WANANCHI pia.Hivi mwigulu aliishia wapi?
CCM siyo chama cha siasa, ni kundi la kigaidi. Kundi la wauaji na wevi wa rasilimali za nchi. Hakuna anayetaka mbadala wa wauaji. Watanzania wanataka waongozwe na chama cha siasa, chama kitakachoheshimu na kulinda uhai wao, haki na uhuru wao. CCM ilikwishageuka kuwa genge la maharamia wauaji, watekaji na wevi. Genge hili linatakiwa kufutwa siku Watanzania wakiwa huru.Hakika chadema ni laana kwa nchi hii. Hebu fikiria mpuuzi moja km huyu anazusha upuuzi na mazuzu sijui bila kuelewa au makusudi wanachangia uchafu km huu. Ndiyo chama mbadala wa CCM! Aibu naona mimi!
NaamCCM siyo chama cha siasa, ni kundi la kigaidi. Kundi la wauaji na wevi wa rasilimali za nchi. Hakuna anayetaka mbadala wa wauaji. Watanzania wanataka waongozwe na chama cha siasa, chama kitakachoheshimu na kulinda uhai wao, haki na uhuru wao. CCM ilikwishageuka kuwa genge la maharamia wauaji, watekaji na wevi. Genge hili linatakiwa kufutwa siku Watanzania wakiwa huru.