Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 44,644
- 131,705
Siyo Polepole tu. Hata mwana JamiiForums mwenzetu mdude walimchukua nyumbani kwake usiku akiwa amelala na familia yake. Mpaka leo hajulikani alipo. Hii serikali imejaa ukatili mwingi sana.Ivi polepole ajulikani yuko wapi adi leo hii duuuh
Kwel hii ndo Tanzania ya kazi na utu