Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Nilishawahi kupendekeza kuwa mheshimiwa Nchemba apewe ukatibu mkuu kamili, jamaa anakubalika sana, mfano ni uchaguzi mdogo wa udiwani Arusha, hao Juliana na Mwampamba nao wanaweza, msiwatelekeze watajisikia vibaya.
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
 
Aache kusambaratisha shida za wa TZ na serikali yake ya CCM aje kwa chadema..watu wengine bana
 
Amechelewa, aanze mapema aone jinsi atakavyoendelea kuistawisha CHADEMA
 
Aje na hiku Kaskazini ndo upinzani una nguvu apambane nao kweli tumuamini.
 
amakyasya;Kikolo umundu uju onangike khangi afulumbanike muntu gwake naabhanine bikunswigha! >>>(Ndugu yangu, huyu mtu ameharibika tena amevurugwa kichwani kwake kiasi kwamba hadi wenzio wanamshangaa) Itifaki imezingatiwa!
 
Last edited by a moderator:
vijana mtumika vibaya sana kumwaga sumu kwenye mitandao bila kujua mnapata faida mwigulu yule ni chizi
 
Heshima hutoka kwa wananchi,sasa kama CCM wanataka heshima,waache rushwa zote,ufisadi,wizi na kuwanyanyasa wananchi na wawape haki zao za msingi na sio maneno.

Kuna mtu anaweza kulipa uhai wa mtu mwingine?hicho kitu kinakera sana CCM wanapeleka nchi shimoni alafu cha ajabu zaidi wanajiona wako sawa wanataka waendelee kutupoteza.Hii haiingii akilini,kila sekta inaporomoka kuanzia umeme,elimu,madini,utalii,kilimo sasa ni nani kafilisi nchi, eti CCM hawajijui kama ni wao

Tumechoka kuongozwa na watu wasiojua nini maana ya wananchi waliowaweka madarakani.
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

mwigulu amepanga KUINGUSHA.......chadema hivi kuingusha ni kufanya nini kuna mbulula humu.
 
U J I N G A mwingine, Kwanini kukisambaratisha CDM? CDM kimesajiriwa kwa serikali ya CCM. Apange mkakati wa ya kuimarisha chama lake na sio kuleta siasa za ugomvi na umwagaji damu
 
Kama Nchemba ndiyo"kichwa"cha kuiendesha CCM kuelekea kushinda uchaguzi mkuu 2015 basi Tanzania ina matatizo zaidi ya haya tunayoyajua!

Sanduklu la kura haliongopi;Nchemba kashindwa karibia kila sehemu aliyopelekwa na CCM kusimamia chaguzi zake!
 
Umeonae, kapiga wrong number akajipange upya huyu mleta mada, hawa vijana hawashikiki, tunamshukuru Mungu sasa watanzania tumejua mengi kupitia hawa vijana.

Mapya yapi? hapo kwenye red andika magamba! usitujumuishe kwenye upuuzi wenu!
 
ungesema kabisa kuwa mwigulu anahamia cdm kwa sababu mmeamua kujifariji.
 
Kama Nchemba ndiyo"kichwa"cha kuiendesha CCM kuelekea kushinda uchaguzi mkuu 2015 basi Tanzania ina matatizo zaidi ya haya tunayoyajua!

Sanduklu la kura haliongopi;Nchemba kashindwa karibia kila sehemu aliyopelekwa na CCM kusimamia chaguzi zake!
igunga ulikuwepo au ulipewa tarifa tu.
 
Kama huyo Mwigulu ameshindwa kusambaratisha CDM katika manispaa moja (Arusha) achilia mbali mkoa mzima, atawezaje kuisambaratisha nchi nzima? Mtoa mada kajipange, hii thread haikidhi ujira wa buku 7.
 
Mapya yapi? hapo kwenye red andika magamba! usitujumuishe kwenye upuuzi wenu!

kwa sasa watanzania wamejua kuwa slaa alitaka kumuuwa zito kupitia ben saa nane na pia kupitia wao tumejua kuwa matamko ya kila wiki ya slaa huandaliwa na josephine.
 
Back
Top Bottom