Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Tena aongeze kasi zaidi kuchimba kaburi la CCM maana 2015 siyo mbali. Atakiona cha moto nchi nzima, kilichomtoa kanga manyoya yake.
 
ujuhaa mtupu ! WaTz hawataki porojo za kina Mwigule na hao Vilaza, waTz wanataka hali bora za maisha , wala hawataki ujinga wa sijui kuisambaratisha CDM ambayo sio chanzo cha uduni wao wa maisha !
 
ndoto za mchana kweupee! Mwigulu mchumba ana nini cha ziada km sio upungufu wa fikra za kimaendeleo
 
Duh makubwa haya eti mwigulu kurejesha heshima ya CCM heshima inarejeshwa kwenye majukwaa au kuwafanyia watanzania mambo wanayohitaji? Kama ni kweli huyu jamaa hiyo masters yake haijamkomboa kifikra.
 
Huyu atakuwa yule kijna wa sumu ametumwa na chama kutaka kupandikiza chuki kati Mwigullu dhidi ya SHONZA na MWAMPAMBA wakidhani kuwa kufanya hivyo kutabadilisha msimamo wa hawa vijana machachari wa kuendelea kuanika madudu ya CHADEMA.

Mwe!!! Eti Fyonza na Mwampambaf ni vijana machariicharii.
 
Umeonae, kapiga wrong number akajipange upya huyu mleta mada, hawa vijana hawashikiki, tunamshukuru Mungu sasa watanzania tumejua mengi kupitia hawa vijana.

kweli mungu mkubwa,sasa tumejua kuwa kuna vijana wawili stela na fyonza ni machizi waliofukuzwa CDM.
 
Siyo CHADEMA wanaojilipua na kusema ni jeshi la POLISI wewe, Mwigullu noma na ndiyo maana kila siku CHADEMA wanahaha mpaka wanatumia Tsh. bilioni 1 kwenye uchaguzi wa kata nne tu pamoja na kutoa mamluki Karatu, Arumeru na moshi.
ni kweli mwigulu ni noma kwa kulipua wapinzani kwa mabomu!
 
Inawezekana ana andaa mabomu mengi zaidi ili kulipua wapinzani kwenye mikutano yao! Pia na kutengeneza video nyingi za kigaidi!
 
Mwigulu amechelewa.......... Tuliwatuma Juliana Shonza na Mtela, sasa wametupatia mbinu wanazotumia akina mwigulu.

Haya watupe kule Shonza na Mtela kama kondom

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ikitungwa au kuungwa ungwa inaonekana tu.
Ikisemwa na mtu mwenyewe inaonekana pia.
Jaribu kuona aibu unapodanganya. Gumbaru mkubwa we.
Tupe source
kada mahiri wa ccm na kipenzi cha watanzania mwigulu nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha chadema na kuirudisha heshima ya chama kubwa ccm katika medani za siasa tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha watanzania nini kipo nyuma ya chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka chadema kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa green guard wanawachukia sana. Amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za ccm. Amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
 
Nape tumekusoma lakini kwanini hujaja na id yako verified..

Mkuu hiyo ID ya Mr. Emmy nayo ni jina lake alilopewa na Profesa Mwandosya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kasindwa na kesi ndogo ya Lwakatare ataweza Watanzania? Kashindwa Arusha ataweza Tanzania! Just looser
 
Kasindwa na kesi ndogo ya Lwakatare ataweza Watanzania? Kashindwa Arusha ataweza Tanzania! Just looser
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

Hapo kwenye red alipaswa aandike hivi: ....baada ya kichapo cha 4:0 ambacho hataweza kukisahau...
Jamani huyu njemba na juliana shenzi wanaweweseka kwa kichapo walichokipta wiki iliyopita ambacho hawawezi kukisahau kamwe. Kumbe kenge hasikiagi maumivu ya kupigwa mpaka aonapo damu zimemtoka masikioni...
 
yewomi ehhhhh
anajua chama hakimtaki kitamtema soon
hiyo ni mipango mfu sawa na simba mzee asieweza kumkamata hata swala mzee
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaa......!jibuni maswali haya wana ccm.
1.Watanzania wana matatizo mangapi wanatakiwa kushughulikiwa halafu mtumie nguvu nyingi kuhangaika na CDM chama kilichosajiliwa kisheria?
2.CDM ni chama halali kwanini kisambaratishwe?
3.CDM kina wanachama,Mwigulu anataka kutumia mbinu gani kisambaratisha bila kuathiri wanachama wake?
4.Anataka kufanya hayo kwa maelekezo ya nani? naili iweje?nani anafadhili mpango huo? kwa gharama gani?
5.jimboni kwake huduma za afya,elimu,maji,barabara nk hali ikoje?
6.Kwanini iwe CDM na si vinginevyo?
7.Kazi za msajili wa vyma vya siasa ni nini?
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom