Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

Mwakalebela alienguliwa kwa sababu hizo hizo, ni wazi huyu jamaa kashapatwa na doa na sio mgombea ubunge tena...
 
Wakuu mtakumbuka kuwa wakati wa mchakato kura za maoni CCM Mwigulu Nchemba alihojiwa kwa saa kadhaa na Takukuru.

Taarifa zinasema kuwa kuna evidence kuwa 10m zilisambazwa kwa njia ya simu ili kuwahonga wajumbe wampigie kura, na taarifa pia zinasema vyombo vya dola vinataka kumchukulia hatua ila vigogo wa juu wa CCM wanamkingia kifua.

Chanzo: Ndani ya serikali.
 
"Source: chanzo ndani ya serikali"! Maana yake nini? Kama ni GT dadavua vizuri ili tukuelewe.
 
Usichoelewa kitu gani? Hakuna haja ya source, ccm ni waasisi wa rushwa tangu tulpo pata uhuru mpaka leo hii.Ccm ni mama na baba wa rushwa ndani ya hii nchi. Huu ujasiri wa kuuliza source unautoa wapi? Wewe ni mgeni nchi hii? Unawezaje kuitenganisha ccm na rushwa?
 
Wenzake walilalamika...ila alvyo na kiburi aligawa pesa...bila soni....hao ndio wanao jiita wazalendo ...ccm
 
Mfumo wa uongoz umeoza kuanzia barozi nyumba kumi had juu.kupitia system hii, tutaendelea kudanganywa uchumi wa nchi unakua.ili hali wananchi ni maskini wa kutupwa.
 
umekwisha kisiasa mpaka kiakili.......ccm wanajua kutoa rushwa tu!!! wameshindwa kutupatia maisha bora.....
 
Nilimsikiliza juzi didasi masabiri akaulizwa na mwandishi wa habri ITV akasama hawakugawa rushwa bali kila mgombea alikuwa na bajeti yake kwa maana kuna waliokuwa wanatoa buku teni wengine buku wengine buku tano

Kwa hiyo Mwigulu Nchemba bajeti yake ilikuwa ml 10 mleta mada elewa hivyo mengine waachie wana ccm
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada kama
Huyo jamaa anaitwa TURIKI jimbo la mkunazini znz kwa tiketi ya ccm anatoa pesa ya bajeti kwa wajumbe wa kupiga kura za maoni
 

Attachments

  • 1439373050834.jpg
    1439373050834.jpg
    43.2 KB · Views: 115
Nilimsikiliza juzi didasi masabiri akaulizwa na mwandishi wa habri ITV akasama hawakugawa rushwa bali kila mgombea alikuwa na bajeti yake kwa maana kuna waliokuwa wanatoa buku teni wengine buku wengine buku tano

Kwa hiyo Mwigulu Nchemba bajeti yake ilikuwa ml 10 mleta mada elewa hivyo mengine waachie wana ccm

Umeniwahi, naona umedesa post niliyokuwa nimeiandaa
 
Back
Top Bottom