Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

Mwenye ushahidi wa yeye kutoa rushwa aupeleke mahakamani by UKAWA
 
Bado Zungu wa Ilala naye Afuatiliwe kwani Anamwaga Balaa hawa Ndio Wanaoangusha Chama... Natoa Ushauri Wagombea wapimwe kwenye Mizani wamefanya nini kwenye Majimbo yao hata kama pesa ziliminywa na Serikali wapimwe kama walichukua hatua zozote... cha zaidi wavuliwe magamba ni Wakati sasa CCM kUWA wASAFI NA HAYA Majitu ya rushwa...
 
:: Takukuru Ya Muhoji Mh Mwigulu Kwa Kukiuka Sheria Ya Kupambana Na Rushwa Singida

Taasisi ya kupambana na rushwa imemhoji kwa masaa kadha Mh Mwigulu Nchemba kwa tuhuma za kujihusisha na rushwa wakati huu wa kutafuta kura za maoni ndani ya chama chake.

Mwigulu mwenyewe pamoja na wapambe wake wamekuwa wakituaminisha kuwa anakubalika sana Iramba Magharibi sasa kwa nini anatumia rushwa? Kumbe huyu naye ni mzigo tuu.

Source; ITV website.
 
Sita na mkewe walikamatwa kwa rushwa kipindi kama hiki 2010, lakini kesi iliyeyuka.
Mwakalebela hali kadhalika alisafishwa.
 
Eti Sokoine wa pili,haki ya nani,Mzee Sokoine upumzike kwa amani, jinsi ulivyokuwa ukichukia rushwa. Halafu huyu anajifananisha Na wewe, alaaniwe
 
Hakuna kiongozi anayeshinda Uchaguzi wowote wenye upinzani bila kuhonga. Hata kama hutaki watakuomba wanachama..hii ni kwa sababu wamezoeshwa rushwaaa kitu kidogoo hivyo hitawezekana kuwa mgombea kama hujahonga. Kushinda inategemeana umetoa ngapi..au kutengeneza kadi feki ngapi##mwiguluandothers
 
Huyu kijana nafikiri hajakomaa... anatenda mambo kana kwamba yuko juu ya sheria na taratibu za chama. Tutashangaa kama haya hayatampa matatizo katika uteuzi
 
Eti Sokoine wa pili,haki ya nani,Mzee Sokoine upumzike kwa amani, jinsi ulivyokuwa ukichukia rushwa. Halafu huyu anajifananisha Na wewe, alaaniwe

Hawezi kujilinganisha na Sokoine hata chembe.
 
Back
Top Bottom